Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
- Thread starter
- #41
Hatua moja tayari. Baada ya interim, hatua ya pili itafuata. Mwisho yatatimia.Mda mchache, mambo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatua moja tayari. Baada ya interim, hatua ya pili itafuata. Mwisho yatatimia.Mda mchache, mambo mengi
Karibu Singida utamjua tu,tuliza akili.Huyo EB ndio nani jamani?napokea jibu hata inbox
OooohKaribu Singida utamjua tu,tuliza akili.
But Vanessa ndiye aliye muacha jux, ila kiukwel jux aende kwa Jack tyuuh now.Ni suala la muda tu. Jacky took the fall kulinda interest zake na Jux na bimkubwa wake. Ishu za mtandao.
Wakati ule naandika Juma atamuacha Vanessa wengi hawakuelewa. Picha imeanza kujengeka sasa.
Jack akiwa video vixenHii thread inanikumbusha Albert Mangwear, She go a gwan. Enzi hizo ndio lilikuwa pini la club.
Tukio lenyewe ndio lile la video call records, na chatting za kimahaba za jux na yule msanii mwenzie wa kiume lol, but maelezo ya jux anasema vee ndo alianza kulog out.Jux ndiye alianza kumpotezea na kumbluetick Vanessa, kwa mujibu wa Vee mwenyeewe. Si unajua wanaume hatuachagi kwa matangazo, tunapiga matukio tu.
Ni nani huyo msanii wa kiume.Tukio lenyewe ndio lile la video call records, na chatting za kimahaba za jux na yule msanii mwenzie wa kiume lol, but maelezo ya jux anasema vee ndo alianza kulog out.
Utabiri umetiaKwa nini mnapenda kuwachulia watu wanaopendana?
Unakoelekea ni kupewa info za kuchafua ubongo wakoNi nani huyo msanii wa kiume.
Lol!
Social tu mbonaUnakoelekea ni kupewa info za kuchafua ubongo wako
Uwiiiiiiiiiiih mbna saivi wako romantic San na huyo mwenzie, wametoa hit yao inaitwa "kinomanoma".Ni nani huyo msanii wa kiume.
Lol!
kwamba Jux ni Biriani?Uwiiiiiiiiiiih mbna saivi wako romantic San na huyo mwenzie, wametoa hit yao inaitwa "kinomanoma".
Mla birianikwamba Jux ni Biriani?