kuna ukweli fulani...trend katika historia inaonesha watu wa zamani waliishi miaka mingi zaidi na kadri miaka inaenda mbele umri wa kuishi unapungua. Mwisho wa Dunia utakuwa Automatically.kama watu waliishi miaka 500, wakaishi miaka 300, wakaishi miaka 100...saizi kwa wote wenye umri chini ya miaka 70 kuja kufikia 80 ni issue....Mzee Mugabe tunamuona kaishi sana ila hata 100 hakufika, kipindi cha watu wanaishi miaka 500 mtu wa miaka 100 walikuwa wanamuona kama mtu wa miaka 30 anavyomuona mtoto wa miaka 5, kama ilivyo issue kuifikia miaka 100 hata hiyo miaka 5 itakuja kuwa issue hivyo hivyo,ni suala la muda tu...naunga mkono hoja ya mleta mada.