Ipo siku life span ya binadamu itakuwa miaka 20, 'trend' inaonyesha hivyo

Ipo siku life span ya binadamu itakuwa miaka 20, 'trend' inaonyesha hivyo

Data zinaonesha umri wa kuishi unazidi kuongezeka siku hadi siku sasa mfano leo Tz life span ni 65 wakati tunapata uhuru tulikuwa 45

Kwa io hayo mawazo yako hayatakuja kuwa kweli na inabidi usahau
 
You mean uchawi?
Neno zuri nadhani tumia Mitishamba.
Gharika imepita wana wa Noah wakaanza uliwa na Majini/Mapepo ikabidi Noah akalalamike kwa Mungu ndio Malaika wakamuomba kibali wamfundishe Madawa.
 
Back
Top Bottom