FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hahahaha mkuu ni hicho kiwewe cha kujua tutaanza kufa mapema au upo high?Kwanini? Kama ni swala la vyakula,organic food/crops projects ni nyingi siku hizi,na ukishakuwa certified unauza organic crops kwa ongezeko la 10% toka bei ya soko
ile mada yetu ilee, lakini huyu kaizidishia chai!..Watu wanahangaika ku prolong life span ww unasema kua itapungua.. labda itabungua huku bara giza tusiokua na Pesa
Hapana hicho cha jubilee kipya kwa Vinci kabisaile mada yetu ilee, lakini huyu kaizidishia chai!..
achana na book of enoch umekisoma the book of jubilee!?
kitafute!..Hapana hicho cha jubilee kipya kwa Vinci kabisa
Premises pleasekitafute!..
Kama una PDF file yake tuwekee hapa mkuukitafute!..
a jewish/hebrew bible!..Premises please
poa nitakiweka badae!!.Kama una PDF file yake tuwekee hapa mkuu
kuna ukweli fulani...trend katika historia inaonesha watu wa zamani waliishi miaka mingi zaidi na kadri miaka inaenda mbele umri wa kuishi unapungua. Mwisho wa Dunia utakuwa Automatically.kama watu waliishi miaka 500, wakaishi miaka 300, wakaishi miaka 100...saizi kwa wote wenye umri chini ya miaka 70 kuja kufikia 80 ni issue....Mzee Mugabe tunamuona kaishi sana ila hata 100 hakufika, kipindi cha watu wanaishi miaka 500 mtu wa miaka 100 walikuwa wanamuona kwa ratio ambayo mtu wa miaka 30 anavyomuona mtoto wa miaka 6, kama ilivyo issue kuifikia miaka 100 hata hiyo miaka 6 itakuja kuwa issue hivyo hivyo sababu hata kipindi kile wanaishi miaka 500 mtu angesema mbeleni kuja kuishi miaka 100 itakuwa kazi wangeona kama haitawezekana na wangemshangaa na kwa ratio hiyo ndivyo tunavyoona haiwezekani baadae kuwa miaka 6(SITA) itakuwa kazi kuifikisha,ni suala la muda tu...naunga mkono hoja ya mleta mada.Nafahamu ipo siku life expectancy ya binadamu itashuka toka miaka 100 hadi miaka 20. Ni suala la muda tu. Yaani mtu kaishi na kuzeeka sana ni miaka 20.
Nini mawazo yako?
Ni suala la muda tu..kuna ukweli fulani...trend katika historia inaonesha watu wa zamani waliishi miaka mingi zaidi na kadri miaka inaenda mbele umri wa kuishi unapungua. Mwisho wa Dunia utakuwa Automatically.kama watu waliishi miaka 500, wakaishi miaka 300, wakaishi miaka 100...saizi kwa wote wenye umri chini ya miaka 70 kuja kufikia 80 ni issue....Mzee Mugabe tunamuona kaishi sana ila hata 100 hakufika, kipindi cha watu wanaishi miaka 500 mtu wa miaka 100 walikuwa wanamuona kama mtu wa miaka 30 anavyomuona mtoto wa miaka 5, kama ilivyo issue kuifikia miaka 100 hata hiyo miaka 5 itakuja kuwa issue hivyo hivyo,ni suala la muda tu...naunga mkono hoja ya mleta mada.
Ukikiweka please naomba unitag mkuu.poa nitakiweka badae!!.
Ahsante sana kaka mkubwa.. ngoja nikipitie
poa bossAhsante sana kaka mkubwa.. ngoja nikipitie
Ngoja tukione..