Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Nov 19, 2019 #21 Kama ya Mbwa? Afadhali aiseee
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 19, 2019 Thread starter #22 Elli said: Kama ya Mbwa? Afadhali aiseee Click to expand... What do you mean afadhali?
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,313 Reaction score 12,170 Nov 19, 2019 #23 FRANCIS DA DON said: Ngoja tukione.. Click to expand... kuna sehemu wanaongelea jinsi NOAH alivyofundishwa uganga kujilinda na mashetani!..
FRANCIS DA DON said: Ngoja tukione.. Click to expand... kuna sehemu wanaongelea jinsi NOAH alivyofundishwa uganga kujilinda na mashetani!..
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Nov 21, 2019 Thread starter #24 Wick said: kuna sehemu wanaongelea jinsi NOAH alivyofundishwa uganga kujilinda na mashetani!.. Click to expand... You mean uchawi?
Wick said: kuna sehemu wanaongelea jinsi NOAH alivyofundishwa uganga kujilinda na mashetani!.. Click to expand... You mean uchawi?
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Nov 21, 2019 #25 Data zinaonesha umri wa kuishi unazidi kuongezeka siku hadi siku sasa mfano leo Tz life span ni 65 wakati tunapata uhuru tulikuwa 45 Kwa io hayo mawazo yako hayatakuja kuwa kweli na inabidi usahau
Data zinaonesha umri wa kuishi unazidi kuongezeka siku hadi siku sasa mfano leo Tz life span ni 65 wakati tunapata uhuru tulikuwa 45 Kwa io hayo mawazo yako hayatakuja kuwa kweli na inabidi usahau
Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,313 Reaction score 12,170 Nov 21, 2019 #26 FRANCIS DA DON said: You mean uchawi? Click to expand... Neno zuri nadhani tumia Mitishamba. Gharika imepita wana wa Noah wakaanza uliwa na Majini/Mapepo ikabidi Noah akalalamike kwa Mungu ndio Malaika wakamuomba kibali wamfundishe Madawa.
FRANCIS DA DON said: You mean uchawi? Click to expand... Neno zuri nadhani tumia Mitishamba. Gharika imepita wana wa Noah wakaanza uliwa na Majini/Mapepo ikabidi Noah akalalamike kwa Mungu ndio Malaika wakamuomba kibali wamfundishe Madawa.