Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

Hujagusia kuwakeketa na kuwachapa viboko wakiuza basi jitihada ni bure
Aliyesem mila za zamani zinapitwa na wakati nahisi alizaliwa elf2 Akasema kisha 2001 papuchi ndio ikawa biashara rasmi
 
Naamini wengi wanaofanya ukahaba sio kwamba wanashida ya kiuchumi laaah hasha! wengi wao wametokana na malezi mabovu toka utoto wao, nasema hivyo kwa sababu kuna watu wametoka familia bora lakini wanafanya ukahaba hii ni kwa sasbabu hawakufundishwa kazi za kufanya ili kuweza kujitegemea yaani life skills sasa wewe mtoto kila kitu alifanyiwa na House girl au house boy unategemea nini huyu mtoto akikua, hajui kufanya biashara yeyote sababu wazazi walikuwa wanampa fedha na mahitaji yake bila kumueleza zimepatikanaje. Ni vyema tukiwa na njia za kiuchumi tuwashirikishe watoto nao wajue fedha zinapatikanaje, kama ni shambani wapeleke kweli kweli na kama ni duka waruhusu wauze.

Wengine wanafanya ukahaba kama starehe, yaani yeye asipofanya mapenzi siku yake inaharibika hivyo ni ngumu kumpata mwanaume wa kufanya naye mapenzi kila muda hivyo inabidi akajichanganye kule hivyo kipato kwake huwa ni kitu cha ziada na ndio maana kuna wengine wako radhi kufanya kwa pesa yeyote ile maana kwao hiyo ni starehe.
 
All the best, ila mimi naona utakua na Kazi ya ziada, damage ishakua kubwa kubadilisha mindset ya mtu ambae anaona hana lingine la ku offer zaidi ya mwili wake kazi sana, wengine wamekuwa abused in the proccess,. Nahisi utatumia resources nyingi sana, ambazo binafsi naona ungezitumia better kuhakikisha wadada hawaingii kny hio biashara, ambayo ungeweza kuanza kwa kuwasoma vizuri na ku identify vulnerable groups …ukisha identify unaformulate interventions kwa hizo vulnerable groups ,,, sijui nilitaka kusema nini ila nahisi efforts zako zeta yield better results Kama uta concentrate kwenye kuhakikisha wadada especially young girls Hawawi recruited kwenye hio biashara na sio kuwaachisha waliopo
 
You
you are too late!
 

Mi mwenyewe hii biashara naichukia sana lakini hutoweza kuikomesha
 
You will do nothing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…