Ipo siku simba watachinja binadamu na kuwala mchemsho wa supu, ni suala la muda tu

Ipo siku simba watachinja binadamu na kuwala mchemsho wa supu, ni suala la muda tu

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Unajua 'evolution' ni kitu cha ajabu sana, na najua ugumu wa ku-comprehend hii concept inatokana na watu kukaza ubongo, yaani mtu anakuwa na prefixed mind set yake ambayo hairuhusu kabisa mawazo mapya kuingia kichwani na kufanyiwa kazi, mbaya sana hiyo.

Anyway, moja ya njia ambazo 'evolution' inaweza kuzitumia kujidhirisha ni 'natural selection', yaani uchaguzi wa asili wa vile ambavyo hasa vinafaa katika mazingira.
Nitatoa mfano hai kabisa ambao natural selection inafanya kazi.

Katika kipindi cha miaka 100 iliyopita tembo wamekuwa wakiuwawa kwa kasi sana kwa ajili tu ya ndovu/pembe zao (ivory), hivyo wale wenye pembe kubwa zaidi ndio wamekuwa wakiteketezwa kwa kasi zaidi, hivyo kwa 'uchaguzi wa asili/natural selection' wale tembo wenye vinasaba vya pembe ndogo (vibamia) ndio wamekuwa wakiachwa zaidi na hivyo kupewa nafasi zaidi ya kuzaliana na hivyo kueneza zaidi mbegu hiyo ya pembe ndogo (vibamia)

Na kwa njia hiyo sasa ndio tunaona idadi ya tembo wenye pembe ndogo imeanza kuongezeka, yaani yale mabadiliko yametokea naturally kabisa, na si uchawi au muujiza, na hii ndio evolution, evolution is REAL & LOGICAL, SIO UJINGA WA KUFIKIRIKA!

SASA BACK TO THE TOPIC,
Kuna simba wameanza kuonekana kuonyesha signs of very high IQ huko maporini, kwa njia hii ya natural selection ipo siku simba watakuja kuwa na akili kuliko binadamu, na watatuwinda kwa silaha za kisasa pamoja na wanyama wengine, watatuchemsha na kutula supu kwa raha zao.

 
Sasa hapo kuna IQ gani aliyoonesha simba zaidi ya kufanya kile ambacho mnyama mwitu anapaswa kufanya!

Unaingia kwenye himaya ya simba unategemea nini? akuchumu?

Lastly, sikutegemea kama simba wana maguvu mengi namna hii!! Yaani hako kazee kameburuzwa kama karatasi! Aloooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba mm hapa sio IQ yoyote zaidi ya Maisha halisi ya simba...

Hapo kama ulitaka uzungumzie suala la IQ basi ungesema
'Kadri siku zinavyoenda binadamu IQ zetu zinaelekea kulingana na Simba'

kwa kumlenga huyo mzungu asie na akili, hiv hapo alitarajia nini?
Na watu kbsaa nao wakamruhusu azame? Halaf eti unalia somebody help me ww upo nje ya nyavuu....

Kwaio hapa sio simba amepanda IQ bali binadamu ameshuka IQ
 
Sasa hapo kuna IQ gani aliyoonesha simba zaidi ya kufanya kile ambacho mnyama mwitu anapaswa kufanya!

Unaingia kwenye himaya ya simba unategemea nini? akuchumu?

Lastly, sikutegemea kama simba wana maguvu mengi namna hii!! Yaani hako kazee kameburuzwa kama karatasi! Aloooh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tembo wenye pembe kubwa, Ni great thinkers and critics ndani ya nchi yetu wanauawa, wanapotezwa, wanatekwa, wanateswa, wananyamazishwa, matokeo yake wasio na akili kama BASHITE na wengine wengi ndio wanakula neema, hii inafanya tutengeneze kizazi Cha wapumbavu, maana ndio walao Bata nchini.
 
Hicho unachokiwaza wala hakiwezi kutokea, maana binadamu nae ana undergo evolution kitu ambacho kitampa uwezo wa juu sana kwa hao simba wanywa supu kuweza hata kumsogelea unless useme evolution kwa binadamu itaku ime stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, lakini kasi ya evolution haziko sawa, speed huwa determined na mazingira...
 
Mkuu sijaona iQ yoyote hapo huo ni uzembe wa jamaa tu na ingekuwa kuna rifle hapo huyo simba angeshalazwa chini Au kupigwa juu ale kona.
 
Back
Top Bottom