TUJIULIZE MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZINAFAHAMU UNYETI UNAOENDA NA WATU WENYE IMANI KATIKA DINI
Shirikisho la cha Mpira Tanzania TFF kuamua kuendelea na ratiba zake bila kujali imani za wachezaji wake kuadhimisha imani zao katika katika siku muhimu kiimani ni bahati mbaya au ni muelekeo wa kudumaza imani za watu.
Ni hakika jambo hili lina wadau wengi ambao wamepitiwa na kuamua siku iwe ya Idd El Fitr au Christmas n.k shughuli za michezo ambazo wachezaji ni waajiriwa wanahitaji kupumzika kama ambavyo kalenda za utambuzi wa siku za mapumziko ya kiserikali inavyobainisha.
MAKALA YA MWAKA 2014 ILITABIRI
Siku hizi Uwanja wa Taifa unafanyika matamasha mbalimbali ambayo yalipaswa kufanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee au Viwanja vya Leaders. Hakuna heshima pale. Uwanja wetu haujafanywa kuwa kitu maalumu.
Tamasha la Idd El Fitr litafanyika hapo. Tamasha la Matumaini litafanyika hapo. Tamasha la Pasaka na Krismasi linafanyika hapo.
Soma makala hii ya Ipo siku tutaandaa ‘Birthday Party’ Uwanja wa Taifa 2014 : kwa hisani kubwa ya :