Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Yeyote anaemkumbuka magu na kumtaka arudi kuongoza, nadhani ni pungwani au Hana focus yoyote
 
waoo waooooo waooooo Magu yaani kama nakuona vile
lala salama maiyooooooo
 
Wewe ndui jambazi la majini na makao makuu yenu pale Kirumba mtaa wa Ghana unathubutu kutoa maneno ya kufuru kwa jabali?
Nyama mmoja wewe unapiga ramli Mimi sipo mwanza nipo ziwa Tanganyika kwanza tambua uvuvi ninaolalamikia Mimi tunavua kibali yaani leseni lakini ulikuwa ukiwaonyesha wanasema sisi hatuna shida naleseni wala nini sisi tumetumwa pesa tukiacha kukuchomea wewe ambae hutaki kutoa pesa wengina hawawezi kutoa pesa kwahiyo tunakuchomea ilitupate pesa kwa wenyekuopa nakweli ndivyo ilivyo kuwa kukitoa pesa hawateketezi malizako huu niujambazi huru mpaka wabunge wamekiri zoezi lilikuwa lahovyo mbwa yule
 

Jengeni Chato ambako hakuna mtu anaenda huko
 
Watumishi wa serikali waliopunjwa stahili zao za kisheria watalipiga mawe hilo sanamu
 
Je huu utabiri unakaribia kuwa kweli? Mwenye macho haambiwi Tazama. Kazi kwenu
 
Jiwe alifuga wezi na wajinga kama wewe
Acha ujinga wewe, simamia kile umeleta, shida yako tukemee ujinga wa shekhe asiyejitambua au tukukemee wewe kwa upumbavu unaoandika hivi?
 
Kwa hiyo mkuu we unahisi kuna namna hvo viboko alivowachapa nyie na wenzio kuna namna au mahali vimesaidia au kuleta impact wakati wa sasa ambao hayupo tena....kusema labda mmebadilika kitabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…