Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Jemedari pumzika kwa amani nyakati na majira yatakukumbuka. Hukuwa mbaya ila mfumo ulikufikisha vile ulikuwa. Ila ulikuwa the best president of all time. RIP JPM
17 March 2021 Tanzania tulimpoteza Rais 🥲

Mungu ni Mwema, Yuaja Mwingine aina ya Magu.
 
Jemedari pumzika kwa amani nyakati na majira yatakukumbuka. Hukuwa mbaya ila mfumo ulikufikisha vile ulikuwa. Ila ulikuwa the best president of all time. RIP JPM
Huyu mpumbavu aliyekufa kwa Civid na kuzikwa Chato hawezi kuwa the best president. Acha kudanganya watu kwa hisia zako
 
Jemedari pumzika kwa amani nyakati na majira yatakukumbuka. Hukuwa mbaya ila mfumo ulikufikisha vile ulikuwa. Ila ulikuwa the best president of all time. RIP JPM
Huyu JPM hawezi ku RIP maana yeye ni kuungua moto tu
 
Je wajuwa Rais ni agent namba moja wa idara na mkurugenzi wakila mission? Achana na Magufuli tafuta panya wengine wakuwazunguzia
 
Je wajuwa Rais ni agent namba moja wa idara na mkurugenzi wakila mission? Achana na Magufuli tafuta panya wengine wakuwazunguzia
Kwa kitu gani hasa cha maana ambacho huyo panya wako wa Chato alifanya?? Au na wewe TumainiEl ni umri wa Gen Z ndiyo maana unamlinganisha na JK labda.

Hivi unajuwa kazi alifanya Mkapa kiuchumi wewe pimbi? Hawa kina JK, JPM na Samia wote wanapita kwenye misingi yake japo JPM alianza KUHARIBU na Mungu akamsanua
 
Mwana huu uzi ni ubora kabisa katika hii miaka ya karibuni nao pia unahitaji heshima!
 
JPM, Mwamba wa Afrika, Mungu ailaze pema roho yake, Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…