Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Labda muache kutuletea story za kumtetea magufuri wenu... yaani hatuko tayari kupotoshwa kuwa shetani ni malaika, hapana hapana hapana
 
Magufuli alilichafua sana kabila letu pendwa la Wasukuma

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hawa Sukuma Gang ni wapagani ndiyo maana wamezoea kuchinjana huko kwao Burundi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Siku za JPM kufa zilishaandikwa, sasa mlitaka aongezewe Siku? sio wa kwanza kufa akiwa kwenye raha.

Kama Hakutubu ndio hapooooo
 

Ipo siku Mahakama itatoa hukumu tuufukue mwili wa Magufuli tupige bakora 12 skeleton lake kwa ukatili alio ufanya dhidi ya binadam.

Yule mhutu alikua mkatili mno
 
Mimi nasema na nitasema kweli siku zote Mwendazake alikua na mapungufu ya kibinadamu kama binadamu mwingine yoyote...hata angeshuka malaika kutuongoza kwa nature ya ngozi nyeusi lazima tu malalamiko yangekuepo..suala la kulinganisha halina mantiki,as long as mambo yanaenda hizi nyingine ni nongwa!
 
Ipo siku Mahakama itatoa hukumu tuufukue mwili wa Magufuli tupige bakora 12 skeleton lake kwa ukatili alio ufanya dhidi ya binadam.

Yule mhutu alikua mkatili mno
Hivi ICC haiwezi kuanzisha hiyo sheria?
 
Hivi ICC haiwezi kuanzisha hiyo sheria?

Afghanistan wana sheria hii
Rais Mohamed Najibullah skeleton lake lilifukuliwa lilipigwa bakora iwa ukatili wa kivita alipokuwa madarakani

Hata TZ tunaweza anisha hii sheria tuki m target huyu katili
 
Maneno mazito haya
 
Muda utaongea mkuu,ila Kwa TAIFA Ili la vijana wa sasa...

Maana wanamwandama marehemu utafiriki ndio aliwaleta duniaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni humu tu mitandaoni. Nenda mitaani na vijijini ni tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…