Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

Hakuna sanamu nzuri kana ile uliyonayo kichwani, na hakuna anayejua....

Vilevile, Hakuna maktaba nzuri kana ile ya Uzalendo;uwe wa sanamu, uwe wa Taarifa uwe wa roho vyovyote vile, unaezeka. Vita unayopigwa ina dhihirisha hawana chao cha kushindanisha.

Kuna pigo takatifu litakalo kuja tokea katika mwambao wa "Uzalendo" [Magulification] hakuna atakaye thubutu kubadilisha hilo?

'Utopia' ??


Hapa bongo yashatokea. Waulize waliohaha, waulize waliojaribu kugusa nyota ile!

Jumaa njema Wazalendo wote.

2025 ....chaguo lako, lishike hatamu. Piga kura kwa uangalifu
 
Alijenga taifa,akaua na kujeruhi watu wa taifa
 
Hiyo maktaba itakuwa inafundisha nini maana mtu wenu zaidi ya matusi sijui kama Kuna Kauli za maana aliwahi ziongea..
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Soma maelezo acha ushamba alikuwa hawazi kama wew na akili zako ndogo
 
Kama hivi:-
 
wee nimjinga unaewaza kuwa sanduku la kura litabadili maisha ya mtu binafsi kwa bongo hii
 
Jpm
 
Mzalendo hanunui midege ya bei mbaya kwa cash bila business plan.

Wakati nchi inategemea kilimo cha mvua za msimu.
Nchi tajiri hii ndio maana tulinunua ndege kwa cash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…