Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF,

Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World.

Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako walisikika na ushahidi upo wa voice note zao wakimkebehi na kumtusi Rais Hayati Magufuli.

Itoshe kusema historia haifutiki wakati sahihi utakuja miaka ijayo.

Naishia hapa tutunze rejea zote.

Shukrani sana 🙏🙏
 
Wewe utakua ndiye Kingai
 
Back
Top Bottom