Ipo Siku Wanaomtukana Matusi Rais Samia Watakuja Kulia Machozi ya Damu na Kumuomba Msamaha

Wapi watu wameuliwa mkuu? Tafadhali toa taarifa polisi haraka Sana!
Hao polisi ndo walioua.
Huo ndo uzalendo unausema wewe?
 

Attachments

  • downloadfile-1.jpg
    249.3 KB · Views: 19
  • FB_IMG_1762454352881.jpg
    76.6 KB · Views: 20
Kahaba mkuu wa makahaba aombwe msamaha na Nani? Labda were mjaa laana mwenye kufurahia utitiri wa matukio ya umwagaji damu zisizo na hatia alioufanya huyu kijimungu chako
 
Uko sayari ya ngapi ndugu yetu
 
Yaani watu walilie liajuza lililoua watanzania 10000??

Siku yake ya kufa itakua ni sherehe na watu watasema good riddance to bad rubbish.
 
Muda si mrefu anaenda kutoka
Madarakani

Na nakuhakikishia

Hii comment nitakuja kukumbushia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…