Pre GE2025 Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli anaweza hata kuja kusababisha Rais akazomewa.

Swala la umeme linajulikana na ni upuuzi Kwa Makonda kuanza kuita Mameneja wa Tanesco Mikoani huku akijua sababu na chanzo Cha hayo matatiso na Kwa nini asitoe jibu la Moja kwa.moja?

Mwisho swala la sekta binafsi kutolipwa ni la kawaida na miaka Mingi na Bora awamu ya Mama walau anawalipa kuliko awamu ya 5 ambao ilikuwa kabisa sekta binafsi.

Hata hivyo Changamoto kidogo ipo kutokana na shida ya Dola na Mafuriko vime divert pesa lakini miaka 2 hakukuwa na shida yeyete kama mama huu.
 
 
Hata Kama ni mtu Miaka 64 ni Mingi Hata akili Itakuwa imeanza kuchoka na kupungua uwezo wa kufikiria na kukabili changamoto .
Kustaafu si miaka 60?manake kupoteza kumbukumbu kunaanza🤣
 
Tatizo mnapingana na ukweli, Magufuli ndiye aliyeleta uhai wa chama na kazi yake imeonekana. Fikiria mtu yupo kaburini ila bado anawapa shida nyie mlio hai.

Mama hana cha kutuambia, amepwaya sana na hakubaliki.
NENDA KAMFUFUE, KELELE ZA NINI SASA
 
Hivi nyie ni kwamba mikutano yake huwa hamsikilizagi mbona hili alishalitolea ufafanuzi kuwa ametumwa na mama samia na huwa anampigia simu kuongea na wananchi wake.
 
It’s already too late ⏰ !
Makonda hazuiliki tena !
Hakuna wa kumzuwia 😅😅🙏🔥
 
Unateseka ukiwa wapi goroko wewe? [emoji3064]
 
Kustaafu si miaka 60?manake kupoteza kumbukumbu kunaanza🤣
Wazo hilo ungelipeleka kwa Mwenyekiti wa kudumu ingependeza.Kwani Mwenyekiti wa kudumu ana miaka 40?
Au yeye hahusiki?
 
Paul Makonda amethibitisha, pasipo shaka yoyote, kuwa utawala wa CCM na Serikali yake ni Utawala wa hivyo, usiojali kuwahudumia Watanzania.
Umati mkubwa sana unaompokea Makonda una lengo moja tu nalo ni kupaza sauti kutatuliwa KERO nyingi sana zinazoletwa na mfumo wa utawala uliopo.
Wananchi wanapaswa kutambua kuwa, namna sahihi ya kutatua KERO ni kwenye SANDUKU LA KURA.
Mtawala aliyevimbiwa kama CCM anatakiwa aondolewe, aje mengine Mpya.
 
Bado kula mahindi mbele ya watu na kutafuna kama ana njaa ya kufa
Halafu aletewe na jogoo pia hapo atakuwa kamaliza kila kitu
Jamaa naona anaangalia clip halafu ana copy ila anajitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…