IQ training quiz

IQ training quiz

hapo njia simple Robber 1 & 2 wavuke ng'ambo, kule Robber 1 amuache Robber 2! Robber 1 akirudi anachukua bag lake $3000 anavuka mara ya pili, no 2 anarudi mwenyewe anachukua pesa yake @5000 anavuka tena kule ng'ambo analiacha bag na namba 1 anarudi anamchukua Robber 3 wanavuka tena, kule anashuka Robber 2, Robber 3 anafata bag lake $8000 trip ya mwisho wanaenda kula shushu na hivi Sirro kastaafu 😀
Sawa wewe si umefanya hiki vice is true au huoni
Okay they will do this

Kwanza ntakomaa na rule 1 na rule 3 na rule 2 Mpaka mwisho

Rule 1 inasema nanukuu

Kivuko kinaweza beba wawili au mmoja kati ya hao watatu pamoja na begi 1 tu

Rule 2 inasema nanukuu

Hakuna jambazi ambae atabaki peke ake na pesa ambayo ni zaidi ya ile aliyoiba

Rule 3 inasema nanukuu

Majambazi wawili hawatakiwi kubaki pamoja na kiasi ambacho ni zaidi ya jumla ya kile walichoiba

Twende sasa na mchezo:

SOLUTION

Robber 1: kaiba $3,000

Robber 2: kaiba $5,000

Robber 3: kaiba $8,000

Cha kwanza tutatumia rule 1 & 2..

Tutaanza na rule 1 & 3:

Robber 1 na Robber 2 wataingia kwenye kivuko na pesa begi 1 $8000 km zilivyo wakati Robber 3 atabaki na $5000+$3000

Wakifika ngambo hapa

Tutatumia rule 2:

Ambapo Robber 2 atashuka na kubaki peke ake (akiwa bila mfuko)

Kisha Robber 1 atarudi na $8000 kwenda kwa Robber 3

Tutatumia rule 1, 2 & 3:

Robber 1 atamchukua Robber 3 kwenye kivuko wakiwa na $5,000

Alafu $3000 na $8000 wataziacha

Kisha watavuka Mpaka kwa Robber 2 watampatia $5000 za kwake

Tutatumia rule 1 & 3:

Kisha watarudi Mpaka ngambo watachukua $3000

Kisha Robber 1 na Robber 3 wakiwa na $3000 watarudi kwenda ngambo kwa Robber 2 wakiwa wameacha $8000 peke ake

Robber 1 atashuka akiwa na $3000 za kwake

Tutatumia rule 3:

Robber 1 atabaki na Rober 2

Hakuna pesa iliyozidi

Tutatumia rule 1,2 & 3:

Baada ya hapo Robber 3 atarudi peke ake na kivuko kwenda kuchukua $8000 waliyoiacha

Kisha atarudi Mpaka ngambo na watatokomea kusikoonekana

Na mchezo umeishia hapo

Problem solved ✓
Game over
😜
Huoni hapooooo au umeangalia kwa kutumia JICHO lipi mkuu?

🤫🤪✓
 
Rules:

1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.

2) No robber can be left alone with a bag worth more than the amount he stole.

3) Two robbers cannot be left alone with bags that are together worth more than the sum of what both originally stole.
Soma rule #1 & #2 Kisha niambie wapi umeona nmekosea kuzitumia hizo rule katika hio puzzle
Soma rules vizuri mkuu hio ni ✓ au kinge kigumu nikutafusirie?
Umeangalia kwa kutumia jicho lipi hadi ukaona nimekosa mkuu, sio lazima wote tupite njia moja kila mmoja ana kipaji chake cha uwezo wa kufikiri wewe unaweza ukapita kule Mimi nikapita huku ila jibu ni lile lile

😂😂😂
 
GENIUS ONLY

You need to transfer four metal weights to the other side of the river: 1kg, 2kg, 3kg, and 4kg.

Rules:

1- Raft can carry a maximum of two metal weights.

2- The difference in total loaded weight between two successive transfers should not be greater than 1 kg.

How can you transfer all four weights to the other side of the
Screenshot_2022-09-14-22-57-12-056_com.androyal.rivercrossing.complete.jpg
 
Three robbers have just robbed a bank. To escape, they need to cross a river. The first robber stole $3,000, the second stole $5,000, and the third stole $8,000.

Rules:

1) The raft can hold either two robbers or one robber and one bag.

2) No robber can be left alone with a bag worth more than the amount he stole.

3) Two robbers cannot be left alone with bags that are together worth more than the sum of what both originally stole.

How can they cross the river?
View attachment 2345977


God curse the robbers they may not be able to cross the river consequently be arrested, taken to a court of law and finally jailed.
 
GENIUS ONLY

You need to transfer four metal weights to the other side of the river: 1kg, 2kg, 3kg, and 4kg.

Rules:

1- Raft can carry a maximum of two metal weights.

2- The difference in total loaded weight between two successive transfers should not be greater than 1 kg.

How can you transfer all four weights to the other side of the
View attachment 2357196


Simple,

I will consecutivelly start transfer the 1kg weight, followed by the 2kg weight, then the 3kg weight and finally the 4kg weight.
 
Back
Top Bottom