IQ ya kijana Gaul Mfaransa

IQ ya kijana Gaul Mfaransa

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,621
Reaction score
1,545
Nilipokuwa darasa la nne Mwalimu wetu mmoja wa Hesabu hapo zamani alitupa quiz ya kuhesabu na kujumlisha toka 1 hadi 100 na tumpe jibu. Kipindi kilikwisha pasipo jibu.

Siku iliyofuata alitupa jibu na akasema kijana mmoja kule Ufaransa aitwaye Gaul aliifanya hesabu hiyo kwa dakika 5.

Siwapi jibu kwa sasa. Ila naomba ujaribu kuifanya kwa muda mfupi na upime. Umetumia muda gani.


Hesabu kwa kujumlisha 1+1+2.... ........+30+31.....hadi 99+100= ????. Jumlisha kila tarakimu kuanzia 1 hadi 100 kisha utoe jibu. Kisha useme umetumia dakika ngapi.

Miaka hiyo ya akina Gaul hakukuwepo na vikokotozi kama tulivyo navyo. Nasi hatukuruhusiwa kutumia zana yoyote. Ubongo tu.

Hivyo usitumie zana. Kisha ukipenda tuambie njia uliotumia. Hapo ndipo penye swali. Asante.
 
5050

pima mwenyewe nimetumia dk ngapi
 
5050

pima mwenyewe nimetumia dk ngapi
sema nimependa wanaume tunavyo pendana watu tuko bize kujadil kyupi ya nand na kusahau stoo ya bilnenga[emoji16][emoji16][emoji16] napta tu mtoa mada [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom