IQ

Mojawapo ya njia ni kuangalia mtu anayeargue vizuri kama huyu jamaa niliyemquote, yeye ana IQ kubwa kwa kuwa ameargue vizuri na mimi nina IQ kubwa kwasababu nimeweza kumgundua kwamba ana IQ kubwa.
 
libichwa langu limeongezeka kilo mbili za chapchap :wink2:
 
Mojawapo ya njia ni kuangalia mtu anayeargue vizuri kama huyu jamaa niliyemquote, yeye ana IQ kubwa kwa kuwa ameargue vizuri na mimi nina IQ kubwa kwasababu nimeweza kumgundua kwamba ana IQ kubwa.

ha ha ha! Mshaanza kupimana IQ zenu. Lol!
Haya na mimi nimewakubali wote.
 
@husininyo: sawa sawa best hapana tatizo b`se hawa watu wa hapa pia watapata kufahamu hata kitu kidigo
kuhusiana na IQ
 
Mojawapo ya njia ni kuangalia mtu anayeargue vizuri kama huyu jamaa niliyemquote, yeye ana IQ kubwa kwa kuwa ameargue vizuri na mimi nina IQ kubwa kwasababu nimeweza kumgundua kwamba ana IQ kubwa.

Check...inaweza ikawa the other way round!
 
@husininyo: sawa sawa best hapana tatizo b`se hawa watu wa hapa pia watapata kufahamu hata kitu kidigo
kuhusiana na IQ

poa mkuu. Ngoja nianze huo mchakato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…