Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IQ ina vipimo vyake vya kitaalamu, so kama unataka kuestablish kiwango halisi cha IQ yako au ya mwanao au ya mtu mwingine, waone wataalamu mahospitalini hasa wa masuala ya afya ya akili. IQ ikiwa sawasawa ni nzuri, ikiwa kubwa ni nzuri zaidi ila ikiwa ndogo sana si nzuri na ikipungua au ikizidi kwango kinachotakiwa basi huleta matatizo ya akili. baadhi ya watoto wanaoanza kuonyesha wana mtindio wa ubongo toka utotoni pamoja na wale watundu kupita kiasi, huwa ni kwa sababu ya IQ kubwa! siku hizi kuna utaalamu wa kumanage IQs kwa hiyo ukiwahi matibabu, kuna uwezekano wa kuicontrol at some levels
Mwekee vitufe viwili vyenye rangi za bluu na kingine cha kijani...akichukua Kijani jua huna mtoto!
kwa hiyo ndugu IQ yako ni ndogoHizi IQ Tests huwa zinanishangaza. Asilimia kubwa ya maswali yamekaa kihesabu hesabu.. Kujua Hesabu inategemea na mapenzi ya mtu kwa somo hilo, Binafsi sipendi Hesabu. Kunipima IQ yangu kwa kutumia Hesabu ambayo siipendi siyo fair.. Wakati mwingine inakuwa ngumu kushawishi mtu kwamba hiki kitu ni valid..
Sioni kama ni vibaya kama utafanya research kwenye website yoyote inahusiana na IQ TEST na pia unaweza ukaonana na Psychologists ili kujua ni vipi unaweza ukaipima IQ na ukatujulisha na sisi wote pia wa hapa JF
Hizi IQ Tests huwa zinanishangaza. Asilimia kubwa ya maswali yamekaa kihesabu hesabu.. Kujua Hesabu inategemea na mapenzi ya mtu kwa somo hilo, Binafsi sipendi Hesabu. Kunipima IQ yangu kwa kutumia Hesabu ambayo siipendi siyo fair.. Wakati mwingine inakuwa ngumu kushawishi mtu kwamba hiki kitu ni valid..
Husninyo, kwa mtazamo wangu hivi vipimo vya IQ sio accurate, yaani vinaweza kukupa general picture, lakini sio acurate. Kwa vipi?
Kwa sababu, vingi vyao vipo kwa kiingereza, na hata maswali yake huwa yanalenga jamii ya kiingereza. Kwa hiyo ukimfanya mtanzania anayeongea kiswahili huwa sio rahisi kupass ukizingatia na mmarekani anayeongea kiingereza.
Karibia IQ test zote zilizopo online zipo kwa kiingereza na zinakuwa na maswali ambayo ni rahisi kujibu kama umekulia kwenye jamii ya kiingereza. Kwa hiyo unaweza kufail swali tu kwa sababu hujaelewa linauliza nini, na sio kwa kuwa we ni mjinga.
Mi mpaka leo sijaona universal IQ test ambayo haipo language-based au culture-based.
kwa hiyo usizichukulie serious sana hizi tests.
kwa hiyo ndugu IQ yako ni ndogo
kuna mwalimu wangu alikuwa ananiambia ukielewa hesabu ujue na masomo mengine pia rahisi kuyaelewa.
Hizi IQ Tests huwa zinanishangaza. Asilimia kubwa ya maswali yamekaa kihesabu hesabu.. Kujua Hesabu inategemea na mapenzi ya mtu kwa somo hilo, Binafsi sipendi Hesabu. Kunipima IQ yangu kwa kutumia Hesabu ambayo siipendi siyo fair.. Wakati mwingine inakuwa ngumu kushawishi mtu kwamba hiki kitu ni valid..
Haaaaah!!! Kumbe ndio maana yake...hahahahahaha....... yani wewe ndo huna akili kabisa kwamba mtoto akichagua kijani ujue anawaza kuchakachua tu.............hahaha:decision: