Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulionya Mapema sana kwamba Moto wa Chadema ukishawashwa hakuna wa kuuzima, na wala hatutakuwa na Mswalie Mtume, Elimu itatolewa, Makombora yatavurumishwa na Spana zotapigwa bila Huruma yoyote ile.
Hapa ni Kijiji cha Kiselya huko Iramba, nyumbani kwao kabisa Mwigulu, na Muda wa Mkutano Huu ni saa 3 Asubuhi kwa saa za Tanzania, Hapa Lissu alikuwa anawaambia Wananchi hawa kwamba Umasikini unaowakabili si kazi ya Mungu, unatokana na dhuluma za kinyama za viongozi wa ccm na watawala wake.
Kimsingi wananchi hao wameelewa mno somo la leo