Pre GE2025 Iramba: Tundu Lissu aanza ziara za Vijijini, Wananchi wakusanyka kumsikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tulionya Mapema sana kwamba Moto wa Chadema ukishawashwa hakuna wa kuuzima, na wala hatutakuwa na Mswalie Mtume, Elimu itatolewa, Makombora yatavurumishwa na Spana zotapigwa bila Huruma yoyote ile.

Hapa ni Kijiji cha Kiselya huko Iramba, nyumbani kwao kabisa Mwigulu, na Muda wa Mkutano Huu ni saa 3 Asubuhi kwa saa za Tanzania, Hapa Lissu alikuwa anawaambia Wananchi hawa kwamba Umasikini unaowakabili si kazi ya Mungu, unatokana na dhuluma za kinyama za viongozi wa ccm na watawala wake.

Kimsingi wananchi hao wameelewa mno somo la leo

 
Itoshe kusema si kila mtu anaweza kuwa mwanaharakati.

Tundu Lissu walioenda kumuona kipindi yupo nairobi wanasema wao ndio walitiwa moyo baada ya wao wazima kumtia moyo mgonjwa.

Huyu jamaa mbali na yote ni mtu shujaa asiyejua kukata tamaa na kile anachokiamini na kukijua.
 
Kuna kilimo gani huko singida huu mwezi wa 6 hadi kupelekea wananchi kutokwenda mashambani kisa kumsikiliza huyo bwana asiye na staha mdomoni kwake.?

Sema wananchi waliokosa pa kwenda wajitokeza kumshangaa Lissu
 
Mwaka 2100 wajukuu wa mjukuu wako bado nae ataendelea kulalamikia ccm
 
Utamaduni wa mwafrika kupokea wageni halafu kipindi cha kura anabaki yeye na makoti yake!
 
Kazi ya Ukombozi Inaendelea
 
He is a victor
 
Tundu Antipas Mugway Lissu; President of the United Republic of Tanzania (2025-2030)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…