Pre GE2025 Iramba: Tundu Lissu aanza ziara za Vijijini, Wananchi wakusanyka kumsikiliza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna kilimo gani huko singida huu mwezi wa 6 hadi kupelekea wananchi kutokwenda mashambani kisa kumsikiliza huyo bwana asiye na staha mdomoni kwake.?

Sema wananchi waliokosa pa kwenda wajitokeza kumshangaa Lissu
Asingekuwa anafanya harakati zake za hizi mngeongea tu yaani Wabongo tuna utahira fulani hivi kichwani
 
Mkianza kumsifia lissu tutajua ameanza kutusaliti ila kwakuwa maccm hamumpendi basi hatuna shaka nayeye
 
Kuna kilimo gani huko singida huu mwezi wa 6 hadi kupelekea wananchi kutokwenda mashambani kisa kumsikiliza huyo bwana asiye na staha mdomoni kwake.?

Sema wananchi waliokosa pa kwenda wajitokeza kumshangaa Lissu
Kuna kiumbe kinakuzuia kuwaza?Waza tu hadi kesho.
 
Zaidi ya matusi, uzushi, upotoshaji hatawasaidia watabaki na umaskini wao. Lissu ni km kichaa flani. Yeye akiwa mbunge amewasaidia nini wapiga kura wake? Duniani kote ukiacha ujenzi wa miundo mbinu umaskini wako unautoa mwenyewe. Serikali ndio inataka hela kutoka kwa mwananchi
 
Mbona wananchi wenyewe hawafiki hata 100? Amepuuzwa
 
Kuna kilimo gani huko singida huu mwezi wa 6 hadi kupelekea wananchi kutokwenda mashambani kisa kumsikiliza huyo bwana asiye na staha mdomoni kwake.?

Sema wananchi waliokosa pa kwenda wajitokeza kumshangaa Lissu
Una umia ukiwa unakata gogo la uwele huko Pai Kondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…