Iran accuses US and Britain for links with Militants

Iran accuses US and Britain for links with Militants

I don't have time kukueleisha, kumbe wewe unakuja hapa kujifunza!! Acha madrasa, nenda shule.

Ndugu zako wamanga wanalia sasa, itakuwa kama Iraq, just wait.
Ha ha ha... Nilijua tu huelewi ni zero zero zero tu..ukristo na ukoloni ndio wale wale...ukweli umejulikana nenda kaimbe mapambio kwa kakobe..lol
 
Ha ha ha... Nilijua tu huelewi ni zero zero zero tu..ukristo na ukoloni ndio wale wale...ukweli umejulikana nenda kaimbe mapambio kwa kakobe..lol

Kumbe wewe ni zumbukuku, SCHMIDT amekushika pabaya wewe.

Jibu swali lake, ni lini Ukristo ulikuja mara ya kwanza Afrika, acha kukimbia bana.
 
Waanze wao..waliozoe kwenda kuvamia nchi za watu..waislamu hawaruhusiwi kupigana mpaka uwe umepigwa that is the principle..hakuna nchi ya kiislamu inavamia nchi nyingine zaidi ya hao mashetani wa kikristo wenye hamu ya kuona damu na vifo vya watoto wadogo, kina mama, waanzishe tuone mwisho wao..si wamezoea ..kazi za shetani nafikiri biblia ndio inawafunsisha hivyo ushetani...

Not so fast cowboy, Iraq iliivamia Iran mwaka 1980 miaka kumi baadaye wakaivamia Kuwait... Wakati mwingine najiuliza kwa nini tunafundisha historia, kama baadh ya watu wanaamua kupuuza kwa makusudi.
 
Back
Top Bottom