Iran contribution to world technology development

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
16,166
Reaction score
25,197
Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani.

Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani.
Baada ya Iran zitafuata nchi zingine za mashariki ya kati.
stormryder
ward41
Bams
dudus
and 100 others


Hii ni duru ya kwanza,nitaleta duru ya pili ambayo ni maendeleo ya teknolojia ya Iran kwa sasa na mchango wake ulimwenguni katika nyanja mbali mbali.
Praise Lord of Life, God the Wise
A worthier notion shall not arise
Ferdowsi, the Great Poet of Iran, (935 – 1020–26)
Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge for centuries.

Today, despite facing many international impediments, Iran continues to emerge as a leader in cutting-edge fields such as artificial intelligence, robotics, and nanotechnology. This remarkable journey, from ancient innovations to modern breakthroughs, underscores Iran’s enduring legacy and its ambitious vision to be at the forefront of global science and technology.
 
andika waliopata nobel mwaka huu
 
Iran and science, Iran na science, Iran na science, Iran na science Kila sehemu, sema wamechangia Nini tangible siyo mambo ya Lasser na mionzi ambayo Haina impact zaidi ya kuleta mabalaa
 
Unavyo andika haya huwa mnapata thwawabu kutoka kwa mola wenu mlezi au huwa mnaandika tu kujipendekeza kwa waarabu?
 
Unavyo andika haya huwa mnapata thwawabu kutoka kwa mola wenu mlezi au huwa mnaandika tu kujipendekeza kwa waarabu?

Kwani umeambiwa hapa zinajadiliwa dini!?
Mbona unakua mfinyu wa fikra?
 
Hivi hyo technology ya kuunda silaha za nuclear na drone ..mwanzilishi wake ninani ..
Ukisha pata jibu kojoa ukalale mapeema..
 
Uajemi ya kikafir ilikuwa na akili mingi mno. Wangekuwa supa pawa hawa watu ila ndio hivyo tena.
 
 
Umekua mlevi hujielewi unachoandika!?
"Mnapata thawabu kwa mola wenu mlezi" hii kama sio udini ni nini!?
We kenge nini!?
Ndo maana nakwambiaga kila una mihemuko sana kijana wangu sasa mola mlezi na dini wapi na wapi?

Na hayo matusi mara kenge sijui mara nini ndo akili yako au ndo dini yako inakushaul kurusha matusi pale unapozidiwa hoja
 
Ndo maana nakwambiaga kila una mihemuko sana kijana wangu sasa mola mlezi na dini wapi na wapi?

Na hayo matusi mara kenge sijui mara nini ndo akili yako au ndo dini yako inakushaul kurusha matusi pale unapozidiwa hoja
Unatafuta kivuli cha kujifichia!?
Hakuna cha mihemko wala nini nani asiyefahamu kama wewe ni mdini!?
Masuala ya Mola mlezi yanakujaje kwenye mada za diplomasia!?
 
Unavyo andika haya huwa mnapata thwawabu kutoka kwa mola wenu mlezi au huwa mnaandika tu kujipendekeza kwa waarabu?
Nafikiri Wa Irani sio waarabu kabisa isipokuwa ni mateka wa waarabu kwa mgongo wa Dini, kwa sasa wengi wana fikra za kujitoa kwenye ukoloni wa Kiarabu unaohalalishwa na uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…