Iran, Hisbollah na HAMAS wameputa mchanga waachwe wapigwe tuu

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,180
Reaction score
1,291
kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana .
leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi sisi tuwaache tukae mzunguko na kushangilia.

kula! kula! kula eeeh ! maana El Jazeera hawakawii kuonesha picha za propaganda kuwa watoto na wanawake hufa wengi ili dunia isitishe minyukano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…