Iran imepigwa na kitu kizito: Tazama sarafu yao ilivyoporomoka baada ya tamko la Trump

Kwa hiyo TSH 1 sawa na 400 Irr
Shilling yetu ni kubwa mara mia nne ya fedha ya Iran

Acha tufurahie kupata kibonde wetu kwenye thamani ya fedha 🤣
Wairani kwa biashara ni wajanja sana na wamezungukwa na nchi nyingi ambazo wanafanya biashara
Watatoboa tu kuliko Zimbabwe
 
Sijui maswala ya uchumi ila mnisaidie ..ina maana Dola moja ya marekani ni sawa na Milioni moja ya Irani???
Kwa sababu hapa kwenye wallet nina Dola kumi...kwa hyo nikienda Iran nna million karibia kumi za huko...🤣🤣🤣

Au ni mimi sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…