Iran imepigwa na kitu kizito: Tazama sarafu yao ilivyoporomoka baada ya tamko la Trump

Iran ni wataalam wa kupambana na hivyo vikwazo uchwara, kwanza hawafanyi biashara kwa hiyo USD, inafanya biashara na kina China, Russia na India kwa kutumia sarafu zao au kwa njia ya kubadilishana bidhaa badala ya pesa.

Alafu wamewekeza sana kwenye viwanda asilimia kubwa ya vitu vyao wanazalisha wenyewe, silaha, magari, vifaa vya ujenzi, chakula chao wanalima wenyewe, wakitaka bidhaa yoyote wanaipata kupitia rasilimali zao, kwahiyo hiyo Dollar iwe sawa hata na Rial million 5 hakuna kitakachobadilisha kitu chochote , na wala Iran hawezi kumsujudia marekani wala yoyote , na wakileta uchokozi wao kupitia kwa kibaraka wake Israel watakutana na makombora ya Fattah-1, hadi waombe amani kama walivyoomba kwenye ile vita ya siku 12.

Hakuna unyonge wala kucheka na nyumbu yoyote.
 
Iran will fail

Nchi iliyogawanyika haiwezi kuishi
 
Ndo maana Raia wameingia bara barani.
Maana sio kwa hyo inflation.

Japo pona pona yao ni kwamba, Hawaagizi mafuta kutoka Nje, Wangekua wananunua mafuta kutoka nje ndo doklar ipande hivyo ni siku tatu tu Uchumi Unaanguka.

Hii ni work up calls kwa Tanzania, Kuhamasisha nishart mbadala ya Petrol, yaani magari ya Umeme na Gas.

Siku tukiwekewa vikwazo basi tayari tunakua na mifumo alternative ambayo bado inapatikana hapa Tz
 
Back
Top Bottom