cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Wairani kwa biashara ni wajanja sana na wamezungukwa na nchi nyingi ambazo wanafanya biashara
Watatoboa tu kuliko Zimbabwe
Hebu tupeni exchange Rate ya hela ya Iran na Tshs walau bibi yetu apate nguvu ya kusema who are you kwa mara nyingine tenaSijaamini nilichokisoma hapo, ni laki tisa na tisini na nane elfu na machenji au?
Hata Libya ilikuwa na mafuta piaMarekani inajisumbua tu huwezi kushindana na nchi yenye mafuta
Hata Iraq ilikuwa na mafuta PiaMarekani inajisumbua tu huwezi kushindana na nchi yenye mafuta
Lakini haikuwa na ballistic/hypersonic MISSILES za kutosha!!!Hata Libya ilikuwa na mafuta pia
Hayo ni maneno ya magazetini na tv tu. Marekani hufanya biashara na kila mtu , alimwekea vikwazo Mrusi , wakati yeye ndiye mnunuzi mkubwa wa Uranium ya Urusi. Kuna clip niliiona ya fbi files. Muirani aliua watu akakimbia jela Marekani. Akakimbilia Iran. Wamarekani waliiomba Iran kumrudisha na walienda Polisi ya Marekani kumchukuwa kwa ushirikiano na IranNa hii itakuwaje
"Donald Trump has said any country that does business with Iran will face a tariff rate of 25% on trade with the US, as Washington weighs a response to the situation in Iran, which is seeing its biggest anti-government protests in years.
“Effective immediately, any Country doing business with the Islamic Republic of Iran will pay a Tariff of 25% on any and all business being done with the United States of America,” the US president said in a post on Truth Social on Monday. Tariffs are paid by US importers of goods from those countries. Iran has been heavily sanctioned by Washington for years.
“This order is final and conclusive,” Trump said without providing further detail. Top export destinations for Iranian goods include China, the United Arab Emirates and India."
Walikuwa wakimtumia Saddam walipomwona kaamka wakamjua ana kitu gani wakamshughulikia hizo silaha nyimngi akinunua Marekani na Ulaya na kidogo kwa Mrusi alikuwa haundi mwenyeweHata Iraq ilikuwa na mafuta Pia
Kwa hiyo TSH 1 sawa na 400 Irr
Shilling yetu ni kubwa mara mia nne ya fedha ya Iran
Acha tufurahie kupata kibonde wetu kwenye thamani ya fedha
Za kutosha ni ngapiLakini haikuwa na ballistic/hypersonic MISSILES za kutosha!!!
Waarabu wa Namtumbo humuishiwi stori za kujiteteaWalikuwa wakimtumia Saddam walipomwona kaamka wakamjua ana kitu gani wakamshughulikia hizo silaha nyimngi akinunua Marekani na Ulaya na kidogo kwa Mrusi alikuwa haundi mwenyewe
Kwa hiyo TSH 1 sawa na 400 Irr
Shilling yetu ni kubwa mara mia nne ya fedha ya Iran
Acha tufurahie kupata kibonde wetu kwenye thamani ya fedha 🤣
Sasahivi inazid kushuka, dolar 1 inakaribia irr 1.2 mBasically, million moja 😃
Na hakuna anayenunua Mafuta yake zaidi ya ChinaNa Iran haiuzi mafuta kwa USD
Tz hatuna umuhimu huo kwenye ramani ya dunia, kila kilichopo Tz kipo kila sehemu in plenty, tuachane na propaganda za kina Mwigulu wakiwa wanakwepa kutenda haki ndipo hutupia lawama mabeberu.TZ next? 🤔
china pekee ndo anaweza nunua mafuta ya iran akavimba nayo hao wengine wote ni waoga na ubaya urusi ana mafuta so hawezi nunua kwa iranNa Iran haiuzi mafuta kwa USD
Ni hivyo. Ila dada hiyo inatosha kununua mkateSijui maswala ya uchumi ila mnisaidie ..ina maana Dola moja ya marekani ni sawa na Milioni moja ya Irani???
Kwa sababu hapa kwenye wallet nina Dola kumi...kwa hyo nikienda Iran nna million karibia kumi za huko...🤣🤣🤣
Au ni mimi sielewi?
Anauza kupitia nini?Na Iran haiuzi mafuta kwa USD