anauza china peke yakeAnauza kupitia nini?
Iran will failIran ni wataalam wa kupambana na hivyo vikwazo uchwara, kwanza hawafanyi biashara kwa hiyo USD, inafanya biashara na kina China, Russia na India kwa kutumia sarafu zao au kwa njia ya kubadilishana bidhaa badala ya pesa.
Alafu wamewekeza sana kwenye viwanda asilimia kubwa ya vitu vyao wanazalisha wenyewe, silaha, magari, vifaa vya ujenzi, chakula chao wanalima wenyewe, wakitaka bidhaa yoyote wanaipata kupitia rasilimali zao, kwahiyo hiyo Dollar iwe sawa hata na Rial million 5 hakuna kitakachobadilisha kitu chochote , na wala Iran hawezi kumsujudia marekani wala yoyote , na wakileta uchokozi wao kupitia kwa kibaraka wake Israel watakutana na makombora ya Fattah-1, hadi waombe amani kama walivyoomba kwenye ile vita ya siku 12.
Hakuna unyonge wala kucheka na nyumbu yoyote.
Baada ya kushambulia anataka kushambulia tena.Za kutosha ni ngapi
Wakati Usa kushambulia ndani ya Iran na kuondoka
Imegawanyika lini na wapi? Unafatilia vyombo vya habari kweli? Au unapiga umbea tu jf?Iran will fail
Nchi iliyogawanyika haiwezi kuishi
China yuan , India rupee vs Iran rialAnauza kupitia nini?
China ananunua na India ananua. China matumizi yake ni sawa na ulaya yote plus AfricaNa hakuna anayenunua Mafuta yake zaidi ya China
Kwa hiyo unaona namna Iran ilivyo vurnalableChina ananunua na India ananua. China matumizi yake ni sawa na ulaya yote plus Africa
Kwani Venezuela haina hayo mafuta au unaongelea mafuta ya mawese.Marekani inajisumbua tu huwezi kushindana na nchi yenye mafuta.
Waende na Iran wakajaribuš¤£š¤£Kwani Venezuela haina hayo mafuta au unaongelea mafuta ya mawese.