Iran imesema itafunga tena mlango wa Hormuz ikiwa vurugu za Marekani zitaendelea na wapo tayari kwa vita vya muda mrefu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI YADOKEZA KUFUNGA TENA NJIA YA HORMUZ IKIENDELEA KUONGEZEKA:

"Ikiwa ongezeko la hivi karibuni la hali litaendelea, itakuwa vigumu kuweka NJIA YA HORMUZ Wazi

Chini ya makubaliano yaliyosainiwa na Marekani, Iran ndiyo nchi pekee inayohusika na Kusimamia NJIA YA HORMUZ

Ikiwa nchi na pande zingine zitaingia kuunda usimamizi wao wenyewe, itasababisha Mapigano"
===============
BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI HINTS AT CLOSING THE STRAIT OF HORMUZ AGAIN IF ESCALATION CONTINUES:

"If the recent escalation of the situation continues, it will become Impossible to keep the Strait of Hormuz Open

Under the agreement signed with the United States, Iran is the Only country responsible for Managing the Strait of Hormuz

If other countries and parties enter create their own management, it will lead to Clashes"

acha uongo mtoa maada wanaenda doha kufanya mazungumzo japo kwenye baraza huko iran kuna mgawanyiko wapo wanataka kusali dua kuwaombea kifo trump na netanyau
 
Wewe punguani kweli msikilize hapo Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi. Au hauna bando.

Baada ya kichapo alichofanya Iran kushambulia Mali zilizokaidi ndiyo Marekani kaaomba waendelee na mazungumzo Doha kuhusu Hormuz peke yake.

Hahhaa hujui hata unachosema baraza la Maulama kuna maulamaa wanataka kutoa fatwa ya kifokwa Trump hujui kitu wewe mlokole.
 
nimsikie mtu haongei english nitaelewa kitu gani
 
Mods. Wa JF wameweka vizuri tafsri.

BREAKING: IRAN FM ARAGHCHI HINTS AT CLOSING THE STRAIT OF HORMUZ AGAIN IF ESCALATION CONTINUES:

"If the recent escalation of the situation continues, it will become Impossible to keep the Strait of Hormuz Open

Under the agreement signed with the United States, Iran is the Only country responsible for Managing the Strait of Hormuz

If other countries and parties enter create their own management, it will lead to Clashes"
 
Marekani alivyoshambulia Iran alidhani Iran watakaa kimya alichofanya Iran ni kushambulia kambi za Marekani za Kuwait na Baharan.

Marekani kaomba poo tena wakutane Doha kwa mazungumzo kuhusu Hormuz peke yake.

Trump kachanganyikiwa😅
 
TRUMP majuto ni mjukuu 👈

baada y kushindwa kwenye Uwanja wa Vita sasa awajui wafanye nn ❗️

Kivita wanaogopa kudhalilishwa zaidi

Baada kushindwa Vita Marekani
Wkt uho uho 🫎🫎🫎🫡🫡
Sasa wanatakiwa kuondosha Vikwazo muhimu zaidi kwa adui yao!!!!

Baada ya kushindwa Vita wako kuzuga zuga ulimwengu kupunguza aibu yao👈w
 
Wewe punguani kweli msikilize hapo Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi. Au hauna bando.

Baada ya kichapo alichofanya Iran kushambulia Mali zilizokaidi ndiyo Marekani kaaomba waendelee na mazungumzo Doha kuhusu Hormuz peke yake.

Hahhaa hujui hata unachosema baraza la Maulama kuna maulamaa wanataka kutoa fatwa ya kifokwa Trump hujui kitu wewe mlokole.
Tena mlokole masikini kabisa
 
😂😂

🚨INAYOVUJA:

🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimekubaliana kusimamisha mashambulizi yote dhidi ya kila mmoja.

🇶🇦 Pande hizo mbili zitakutana Jumanne huko Doha, Qatar, ili kutatua tofauti zao kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz. Usitishaji mapigano, uliosainiwa siku 11 tu zilizopita, tayari uko katika hali tete.

Chanzo: Axios / Mwandishi: Samuel
 
Back
Top Bottom