Iran imeshambulia tena kambi za Marekani zilizopo Bahrain, Jordan na Kuwait

Iran imeshambulia tena kambi za Marekani zilizopo Bahrain, Jordan na Kuwait

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
24,847
Reaction score
61,886
Mapema leo asubuhi Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu la Iran limeshambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Bahrain na Kuwait kwa makombora ya balistiki ya masafa mafupi(Bahrain, Kuwait) na marefu(Jordan) pamoja na ndege sizizo na rubani maarufu kama UAV

Hii ni baada ya jeshi la Marekani kushambulia matenki ya maji na minara ya mawasiliano iliyopo kusini mwa Iran baada ya helikopta yao ya kijeshi aina ya Apache kutunguliwa mapema mnamo 08/06/2026

=======================================================================

  • Iran’s IRGC said it launched a drone attack on the US Fifth Fleet in Bahrain and an airbase that hosts US military personnel in Jordan in retaliation for earlier US strikes on southern Iran.
  • Jordan’s military said it shot down five missiles launched from Iran, while Kuwait’s military said it was “intercepting hostile aerial targets”. Air raid sirens were also activated in Bahrain.
  • Iran said earlier that US forces had attacked several locations in the south of the country, including the Sirik region, where two water tanks were confirmed as having been destroyed.
  • The US military described its latest attacks on Iran as “self-defence” and a “proportional response” to Iranian attacks, including the downing of a US Apache attack helicopter over the Strait of Hormuz on Monday.
=======================================================================

Source: Aljazeera
 
😁

Tunachojua ni kuwakanda maana ndio lugha mnayoelewa pekee
20260610_095646.jpg
 
Acha songombingo lichezwe

Mmoja hataki ashuke heshima yake na mwingine anataka kushusha heshima ya huyo

Sa itakuwaje?

Kuna mmoja itabidi achapwe na mataifa yote ili kupunguza ukali wa maisha

Je, ni Iran au Marekani?
 
😁

Tunachojua ni kuwakanda maana ndio lugha mnayoelewa pekee
View attachment 3604852
Hana ujeuri wa kupigana na Iran bila US. Hizo interceptor zikiisha atazuiaje makombora ya Iran? Na Israel ikisema ivamie Iran haina uwezo wa kuiteka sababu hawana vifaa wala manpower ya kuchukua nchi ya watu million 100 na yenye ukubwa mara 20 ya Israel.
 
Nchi ambazo zina uongozi dhaifu zitaumia zaidi kwasababu kipato chao kinaibwa chote na wanabakia hawana kitu cha ku subsidise kwenye hali mbaya ya Uchumi wa Dunia...Lakini pia mipango ya hovyo hovyo ambayo haizingatii uhalisia wa gharama na ubora utaumiza watu wengi.....
 
Inabidi tuunde tume ya wana jf waende wakasuluhishe huo mgogoro.
 
Mtaalam anielimishe kitu hapa. US ka block bandari za Iran which means kuna assets za kijeshi za US ziko ndani kabisa ya Iran, kwanini Iran anapo retaliate hushambulia bases za US kwenye nchi majirani ambako kimsingi ni mbali kuliko kuanza na hizi meli zinazo block bandari zake?
 
Mtaalam anielimishe kitu hapa. US ka blocked bandari za Iran which means kuna assets za kijeshi za US ziko ndani kabisa ya Iran, kwanini Iran anapo retaliate hushambulia bases za US kwenye nchi majirani ambako kimsingi ni mbali kuliko kuanza na hizi meli zinazo block bandari zake?
Assets haziko karibu kama unavyofikiria na Iran anauza mafuta kama kawaida kwenda far Asia, wako km 1000 na kufuatwa na drones na speed boats kila wanapooleta vurugu. Ukiona kambi imepigwa jua kua mashambulizi yalitoka katika kambi husika
 
Chakuongezea kwann Iranian ulenga Kambi za Jeshi malengo ya Kijeshi yapo ivyo 👈


Marekani eneo ili sio kwake ivyo kumdhibiti kupitia kubutua Maghala au hifadhi zake za Silaha kwenye izo Kambi ndio kina mfanya Trump kukumbilia kutafuta kusitisha Vita mana wanakuwa weupe kimtindo

Ivyo ivyo na Israel
mfano Israel kupigana na Iranian muda mrefu hawezi Sababu Iranian anatumia Satellite kufatilia hifadhi zake zote muhimu muhimu wakianza kupiga wanaanza na izo hifadhi zao

Kama zitabaki ni zile hifadhi chache hawakuzijua

Njia yao ya2 bado Iranian anakuletea mzigo mkubwa kwenye Anga lako ili umalize mzigo wako ulioficha hasikokujua👈

kutokea apo
Iran atakuletea MOTO💥💥 kwa muda wake yeye!!

Huku ww hakikuacha utapetape kutafuta kusitisha Vita 🤠🤠🤠

Ndio mana mnaona Trump anatafuta washirika ktkt ya Vita lengo kupata maeneo mapya ya kushushia Silaha zao na hifadhi mpya
Viwanja vipya vya ndege!
Baada ya vile wanavyotegemea kulengwa na Iranian,

Vita ni Mkakati Iranian uponea umoumo kwenye mikakati yake
Kajikita kumfanya adui yake kutoka kwenye kutamani Vita kumleta kwenye kutamani kusitisha Vita halaka iwezekanavyo ✍️
 
Back
Top Bottom