dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Hana ujeuri wa kupigana na Iran bila US. Hizo interceptor zikiisha atazuiaje makombora ya Iran? Na Israel ikisema ivamie Iran haina uwezo wa kuiteka sababu hawana vifaa wala manpower ya kuchukua nchi ya watu million 100 na yenye ukubwa mara 20 ya Israel.
Assets haziko karibu kama unavyofikiria na Iran anauza mafuta kama kawaida kwenda far Asia, wako km 1000 na kufuatwa na drones na speed boats kila wanapooleta vurugu. Ukiona kambi imepigwa jua kua mashambulizi yalitoka katika kambi husikaMtaalam anielimishe kitu hapa. US ka blocked bandari za Iran which means kuna assets za kijeshi za US ziko ndani kabisa ya Iran, kwanini Iran anapo retaliate hushambulia bases za US kwenye nchi majirani ambako kimsingi ni mbali kuliko kuanza na hizi meli zinazo block bandari zake?