Kawaida kwani UONGOZI NA ALLAH ukiambiwa uchague utachagua nini shekhe lazima uchague uongozi ili upate pesa mambo ya Imani unawaachia masikiniUtawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
Kawaida kwani UONGOZI NA ALLAH ukiambiwa uchague utachagua nini shekhe lazima uchague uongozi ili upate pesa mambo ya Imani unawaachiaUtawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
it doesnt matter, cha muhimu walikua kwenye maadamanoKwa ujinga wako hawa wote ni Wayahudi au Mossad?
watu 12k una ushahidi wa hizi namba?Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
View attachment 3529516
Mossad sio lazima awe muyahudi, ila jiulize kwanini anaeumia ni Trump na Netanyau mpaka wanapanga Kuvamia? Hakuna muiran anaeweza kuchoma msikiti never hao ni mossad na CIA.Kwa ujinga wako hawa wote ni Wayahudi au Mossad?
Aisee watu wamekula misumariKwa ujinga wako hawa wote ni Wayahudi au Mossad?