Iran imeua waandamanaji 12,000 baada ya kuzima Internet nchini humo

Mossad sio lazima awe muyahudi, ila jiulize kwanini anaeumia ni Trump na Netanyau mpaka wanapanga Kuvamia? Hakuna muiran anaeweza kuchoma msikiti never hao ni mossad na CIA.
Wajinga na Wapumbavu pekee ndiyo watakubaliana na wewe!! Wairan 12,000 wamepoteza maisha ni hasara kwa Iran!!
 
Lete source ya habari tangu asubuhi nyuzi nyingi napenda soma zaidi...
 
Wee Zumaridi inakuhusu nn, acha aue si raia wake mwenyewe, mbona Israel kaua zaidi ya elfu 70 shoga ww
 
Mkuu una maoni gani baada ya Ayatollah kusalia madarakani na maandamano kuisha nguvu?

Umeamini Persians wana akili kuliko wayahudi?
 
Mkuu una maoni gani baada ya Ayatollah kusalia madarakani na maandamano kuisha nguvu?

Umeamini Persians wana akili kuliko wayahudi?
Acha ujinga hujui kuwa Abraham lincon iko jiani?
 
Vipi maandamano mlisema Ayatollah anakimbia na katanguliza dhahabu huko Russia!! Kwani Pahlavi anasemaje? Hahhaha
All options are on the table, don’t play games with Trump”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…