Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Ndoto ya bunuasi kama Iran inashindwa kuipiga Israel ambapo JWTZ ukiwatuma kupiga Israel ndani ya miezi 6 watakuwa washafutwa imeshindwa ndio itaweza kupiga marekani ambapo mrusi anaogopa kundulako wewIran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
Msome vitu kabla hamja post tu kindezi ndezi.Hahaahha nyani
Iran ipi imeshindwa kupiga Israel??Hiyo n
Ndoto ya bunuasi kama Iran inashindwa kuipiga Israel ambapo JWTZ ukiwatuma kupiga Israel ndani ya miezi 6 watakuwa washafutwa imeshindwa ndio itaweza kupiga marekani ambapo mrusi anaogopa kundulako wew
Endeleeni tu kujifariji baada ya kipigo!!!!Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
Iran sio wepesi hivyo. Unadhani wao hawajajipanga?Iran hana jeuri hiyo anajua kitakachofatwa ni kufutwa kwenye uso wa dunia......Muhuni pekee aliyewaweza Wamerekani kuwapiga kwenye ardhi yao ni Osama peke yake......na tulishuhudia balaa kwenye kumtafuta...walikua hawaulizi wakipata tu tetesi hata kama ni milimani watalipua mlima wote
We ndo huna akili....US NDO KACOPY DRONE ZA IRANirani hana teknologia yake msidanganyane, hiyo shahed yenyewe wanayotamba nayo teknolojia ni ya ujerumani, amefanya tu copy&paste, sasa kama ame-reengineer technology ya ujerumani unafikiri wao west hawana uwezo zaidi ya irani? ...
Hizi ndio Habari njema sasa.
Sio ule utoto wanaoufanya huko kwa waarabu.
Piga New York au Washington DC. Hata ukishindwa unakuwa umeshinda kishujaa.
Wajue tuu Marekani akipigwa kwenye ardhi yake, atadhihirisha maana halisi ya ukafiri. Hilo wakae nalo kichwani
We ndo huna akili....US NDO KACOPY DRONE ZA IRAN
Loh! Kiuhalisia umekuwa mgonjwa wa akili au unajifanya ni mgonjwa wa akili?
Aina gani ya drone ya Marekani ni copy ya drones za iran!!
Iran uwezo wanao, na walishafanya hizo projects miaka ya nyuma ya kutengeneza missiles za kwenda more than 10000 kms..Iran itaishambulia America kwenye ardhi yake very soon kwa kutumia ICBM vitu vinasubiri amri mpaa USA aseme maji uji
Israel si nchi ambayo ina uwezo mkubwa kivita...Kuna hoja nyingine mnatoa kama vile mmekosa akili kabisa!
Tofautisha matamanio na uwezo. Hata kama mtu ukawa na akili ndogo kabisa, unaweza kuamini kuwa Iran ingekuwa na uwezo wa kupiga ndani ya Marekani, asingefanya hivyo?
Pamoja na Iran kutumia hela yake karibia yote kuwekeza kwenye masuala ya vita, lakini haijaweza kufika mbali sana.
Ufahamu kuwa, tangu Ayatollar achukue madaraka, ni marufuku kampuni binafsi au mtu binafsi, ndani ya Iran, kumiliki kisima cha mafuta, wala mgodi wa kuchimba madini. Mali zote za asili zinavunwa na Serikali tu, na sehemu kubwa ya pesa inaishia kwenye silaha na kufadhili makundi ya kigaidi, huku wananchi wengi wakiishi kwenye umaskini mkubwa, hata hivyo, bado haijaisaidia Iran kuwa miongoni mwa military superpowers.
Iran ina uwezo wa kuleta madhara kwa nchi majirani zake, na hata kwa Marekani, lakini haina uwezo kabisa wa kuzishinda kivita nchi kama USA, Israel, Uturuki, Misri au Saudia.
ππππππ MuueHata kiingereza hujui mbwa wewe.
Wacha tukutafsirie.
"Kama marekani itaendelea kuishambulia Iran basi Iran itaanzisha vita kamili. Rezae amesema kwamba kwasasa Iran imeweka mipaka kwenye kujibu mashambulizi ila hilo halitadumu muda mrefu".
Hapo kutoa milio ni wapi Iran ametoa milio!? Mkiambiwa msomw hamtaki.