Usipoteze muda na porojo za USA. Hao mazafakas watakwambia chochote kile. Tangu waanze kuongea maujinga yao ni zaidi ya miezi miwili sasa!Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani wanasema fedha za Iran zilizozuiliwa zinaweza kutolewa hatua kwa hatua badala ya makubaliano ya nyuklia na usimamizi wa kimataifa. Hata hivyo, maafisa pia walionya kwamba idhini ya mwisho kutoka kwa uongozi wa Iran, akiwemo Kiongozi Mkuu Mojtaba Khamenei, bado haijapatikana, na mazungumzo bado yanaweza kuvunjika kabla ya makubaliano kusainiwa rasmi.
Unataka kuwafundisha kazi??
Tatizo lako huelewi nini anachomaanisha!!! Marekani inajua wazi imemshika pabaya Iran lazima tu at atoa mlio!!!Usipoteze muda na porojo za USA. Hao mazafakas watakwambia chochote kile. Tangu waanze kuongea maujinga yao ni zaidi ya miezi miwili sasa!
Angalia mazafaka anachosema already:
Trump says he won’t ‘rush into’ a deal with Iran as hopes of imminent agreement cool
The president posted on Truth Social that “time is on our side,” dulling hopes that a deal to open the Strait of Hormuz would be announced as soon as Sunday.www.nbcnews.com