antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hahaha,Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho.
Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen
View: https://youtu.be/2lMBup-xlVo?si=URBYVLXw-5Udseao
Kuna fununu tayali kanyongwa!!Hahaha siwalikuwa wanamtumia yule General kisha weka ndani. Huyo ndio alimuza Nasurlah na Khomen.
Silaha wajue ziko wapi basi wangeisha shinda basi.
View: https://youtube.com/shorts/2Epc-_kfXH8?si=T-wbDQiW0v60hvQL
Ila hawa wakristo wazungu mbona wapo kinyume cha wakiristo waagfrica hawashangilii waislaam kuuliwa kwanini??? hata inapokuja kuwahurumia wanawahurumia waarabu japo ni waislaam kuliko sisi waafrika wakristo wenzeo da inauma sana.Waislamu wengi ni majuha sana.
Wewe unajua unachoongea lakini.!!! Mikopo gani Iran imeipa Tanzania bila riba au magaidi wa Hamas, Hezbollah na Houthi ndio unachanganya na Tanzania.Dogo tulizana Aliye kuwa kakataza Iran wasiwe na Nuclear USA na Israel walimua sasa Iran official Trump kakiri ana Nuclear. Iran ni Official Nuclear Power(Nchi ya 10 kuwa na Nuclear Duniani)
View: https://youtu.be/XJ1Dh23NOfA?si=Qviu8i6s2l9qMfSr
Afu we mvaa msalaba Israel aliwasaidia lini Tanzani huyo Muiran unaye mchukuia ndio anawapa Tanzania mikopo bila Riba(Faida)
Tatizo we muosha vyoo kule Tela Aviv hakuna unalo lijua wewe, hakuna nchi inayo idai Tanzania kama Iran tokea zamani tena deni bila riba. Wengine wote wana kula riba je Israel anawakopa au USA hahahaWewe unajua unachoongea lakini.!!! Mikopo gani Iran imeipa Tanzania bila riba au magaidi wa Hamas, Hezbollah na Houthi ndio unachanganya na Tanzania.
sasa mbona iran harushi ndege hata moja ndege zake zimeenda wapi kama zipo au zimeenda kulipia vikoba?Nyie kweli mna wasikiliza USA na Israel na propoganda zao hahaha sa kwa tarifa yenu target zote walizo kuwa wanapiga Israel na USA wakifikiria silaha kumbe ni mchoro special wamekuja kugundua bada ya kuzifatilia video za hizo target hakuna kinacho ruka kwenye hizo target zaidi ya kunguza silaha zao bure tena zenye thamani kubwa sana hapo ndio mjue vita ni akili.
View: https://youtu.be/98Qvse3wXrA?si=d20-NUfI7-en6Jbl
Mzigo umekata eeeh?Mzigo umekata pia launchers zao nyingi zimepigwa na huko majini hawana Ngalawa hata moja yakujitutumua.