Iran kuishambulia Marekani

Uliyemquote mbona hajazungumzia dini wala kucomment kwa mlengo wa kidini!? Naona wewe ndo una vimelea vya dini maana umeshindwa kupinga hoja yake bila kuhusisha dini! Hizo dini za kuletewa zisifunge fikra zetu, tujadili mambo kwa uhalisia wake.
Asante kwa msaada wako.Maana nilibaki nimebung'aa kama pera.
 
Kupata hivi vichekesho hua mna bonyeza ngapi ?
 
Iran kasema atapiga visima vya mafuta vilivyo chini ya US katika nchi za kiarabu zote sio kumpiga US kwake. Tena ni pindi tu Israel ikijibu shambulio la juzi.
 
😅😅hivi USA kama USA alisha wahi kumpiga nani vitani ?? Msiseme japan maana bila ilo kombora mlikuwa hoi bin taabani
 
Nimecheka!!! Iran anatafuta kujimaliza
 
Iran haijakosea! Kwa sasa Iran iko juu kwa technology ya kutengeneza Hypersonic na Balistic missile na drones.
 
Safi sna maana tumecboka na siasa za ubwanyenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…