Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

Amna dhuluma hapo, ila wanajidhulumu wenyewe....yaan kujihifadh iwe ni dhuluma?
yaan wafuga uchebe watatu wanajuwa kuliko nchi nzima ? uturuki hawaish ivo ila ni waislam swafii
 
punguza mapepe
Tuongee Ile kiafrika kuwa na akili huru bana mbona kila watu Wana tamaduni zao hata wajapani Wana vyakula ,mavazi yao na lugha yao wanaishi vizuri. Yaani hizi dini zimekuja kutugawanya.

Kuwa huru sio lazima uambiwe kilicho sahihi ama umeshashikwa akili wanazo wazungu wa ulaya kuwa ukuvaa suti ndio vazi la heshima ,ukiitwa majina yao na ukiwa na dini zao pia ukila vyakula vyao ndio Mungu atakuona u mtakatifu na utailamba pepo.
 
zinakuwaj tamaduni zao wkt raia hawazitak ? unashindwa tofautisha tamaduni na mila
 
Amna dhuluma hapo, ila wanajidhulumu wenyewe....yaan kujihifadh iwe ni dhuluma?

Dini ya mateso sana hiyo, hususan kwa mwenye anayeifuatilia neno kwa neno....
 
Back
Top Bottom