Tuongee Ile kiafrika kuwa na akili huru bana mbona kila watu Wana tamaduni zao hata wajapani Wana vyakula ,mavazi yao na lugha yao wanaishi vizuri. Yaani hizi dini zimekuja kutugawanya.
Kuwa huru sio lazima uambiwe kilicho sahihi ama umeshashikwa akili wanazo wazungu wa ulaya kuwa ukuvaa suti ndio vazi la heshima ,ukiitwa majina yao na ukiwa na dini zao pia ukila vyakula vyao ndio Mungu atakuona u mtakatifu na utailamba pepo.