Emmanuel kant
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 333
- 857
Au nasema uongo ndugu zanguNilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
Tatizo mnajipendekeza kwa watu ambao hawana time na nyieNilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite.
Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu tena anaipenda Iran hadi kutumia wajumbe kutoa pole.
Bibi kizimkazi ameshindwa kujua hiloTatizo mnajipendekeza kwa watu ambao hawana time na nyie
Naongelea hizo meli zinazoleta mafuta TanzaniaMna meli?
Wacha unafiki meli zipi za mafuta?Sasa hivi kuna meli inapakuwa mafuta bandarini.Hiyo itakuwa imepita angani?zMnakosa cha kuandika mnaleta uzushi .Naongelea hizo meli zinazoleta mafuta Tanzania