Iran ni DUDE kubwa ,Ulaya sasa ni maandamano na fujo

Halafu kuna wapuuzi wanataka kuhamisha malengo ya maandamano
Ulaya wanatakiwa wawajali raia wao badala ya pesa zote kwenda kufadhili vita ya Ukraine
Na wanatakiwa waelewe kama iran ni dubwana kubwa sana wanalotakiwa kukaa nalo chini wakaongea nalo sio kulipangia lifanye hiki kile lisifanye
Iran iendelee kushikilia m*p hivyo hivyo maana karibuni bingo litatemwa
Ngoja waje wazayuni wa jf uwasikie watakavyo chamba umbea hapa !!!
 
Mnachanganya mafaili:

Ulaya, Iran, Ukraine, Zayuni halafu labda baadaye USA, Russia, n.k.
 
Halafu kuna wapuuzi wanataka kuhamisha malengo ya maandamano
Ulaya wanatakiwa wawajali raia wao badala ya pesa zote kwenda kufadhili vita ya Ukraine
Na wanatakiwa waelewe kama iran ni dubwana kubwa sana wanalotakiwa kukaa nalo chini wakaongea nalo sio kulipangia lifanye hiki kile lisifanye
Iran iendelee kushikilia m*p hivyo hivyo maana karibuni bingo litatemwa
Ngoja waje wazayuni wa jf uwasikie watakavyo chamba umbea hapa !!!
Hakika mkuu
 
Wangeita mapolisi wa Tz washughulike na waandamanaji wao!
 
Mwaka huu Wazungu wanachambia maji ya Limao 🤣

Na wale kina Aleluyaaaaa Wenyekutegemea pesa za Wazungu picha linaenda mwishoni???
 
Back
Top Bottom