son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Hakika mkuuHalafu kuna wapuuzi wanataka kuhamisha malengo ya maandamano
Ulaya wanatakiwa wawajali raia wao badala ya pesa zote kwenda kufadhili vita ya Ukraine
Na wanatakiwa waelewe kama iran ni dubwana kubwa sana wanalotakiwa kukaa nalo chini wakaongea nalo sio kulipangia lifanye hiki kile lisifanye
Iran iendelee kushikilia m*p hivyo hivyo maana karibuni bingo litatemwa
Ngoja waje wazayuni wa jf uwasikie watakavyo chamba umbea hapa !!!