IRAN & NORTH KOREA: Ujasusi na mauaji nje ya ardhi zao

IRAN & NORTH KOREA: Ujasusi na mauaji nje ya ardhi zao

Operation entebe hats sisi tungeweza kufanya na kufanikiwa
hyo operation ilikuwa ya kawaida sana[/QUOTE]Tatizo la wasomi wetu wanashindwa kutofautisha kati ya nadharia na vitendo.
Tanzania tuna maprofesa wengi wa biashara,mfano,waziri wa fedha ni dokta wa uchumi,kinadharia,angalia uchumi wetu unavyoyumba.
Hata wewe unaona alichofanya Israel huko Uganda ya Amini ni simpo sana,ukija kwenye vitendo ndio utagundua na kutambua ugumu wake.
 
hyo operation ilikuwa ya kawaida sana
Tatizo la wasomi wetu wanashindwa kutofautisha kati ya nadharia na vitendo.
Tanzania tuna maprofesa wengi wa biashara,mfano,waziri wa fedha ni dokta wa uchumi,kinadharia,angalia uchumi wetu unavyoyumba.
Hata wewe unaona alichofanya Israel huko Uganda ya Amini ni simpo sana,ukija kwenye vitendo ndio utagundua na kutambua ugumu wake.[/QUOTE]hyo ilikuwa simple sana mkuu
 
Islamic Revolution 1979 imetengeneza Rigime Hatari..wameuwa Raiya wao Wengi Sana
 
Back
Top Bottom