MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
- Thread starter
- #21
Kujitowa kwa Wa IRAN Kwenye Michezo ya Olimpic London wewe kunakuuma kitu gni mpaka umeamuwa kuweka hi Threat? Acha UDINI wako na mambo ya Michezo Waache Wajitowe hao Wa IRAN wewe angalia Nchi yako Tanzania Miaka iliyopita kwenye Michezo ya Olimpic mumefanya nini cha Maana? Kama sio Utumbo Mtupu tena huo Utumbo ni wa Paka haufai hata kuliwa na Binadamu.
Yakhe vipi jabza namna hii mpaka unapata kigugumizi cha vidole? Khaaaa
Yakhe weye ni Muiran?