jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Binafsi ninaamini hakuna Mungu mtu dunia hii.. si Marekani wala China.. Kinachotangulia ni nani ameshambuliwa!..
Kama Israel itaishambulia Iran vita hii itakuwa kubwa sana na siwezi kusema Israel atashinda... Iran yuko nyumbani ana kila uwezo wa kujilinda na matokeo yakawa tofauti. Hezboullah wa Lebanon waliweza kumsimamisha Israel sio mara moja as a fact walimfukuza Lebanon. Vietnam waliweza kumfukuza Marekani, Afghanstan walimfukuza Mrusi na leo hii bado wanapambana na majeshi ya jumuiya ya NATO.
Lakini nchi hizo hizo haziwezi kusimama hata dakika moja kama watazishambulia Marekani, Israel ama Urusi.
Kwa hiyo jamani tusitake ku under estimate matokeo ya vita!...Ni kitu ambacho tusitake hata siku moja kuombea.. Vita sio Olimpiki wala mashindano ya mpira, hizi ni roho za watu...
Halafu licha ya kwamba wana mafuta hao wairaki...Lakini wanatumia mafuta yanayotumia wakati wa kupika ili kutengeneza hayo mabomu ya hapo ndio maana hawawezi kumkamata mtu eti kwasababu ana mafuta ya kupikia chakula!
Mafuta ya chakula ambayo hugeuzwa mabomu!
Kaazi kweli kweli!
Militia members and insurgents have at times increased the sophistication of their weapons, but the rocket-propelled bombs are makeshift devices that also have been used in recent years by insurgents in Colombia. Propane tanks are ubiquitous in Iraq, where the fuel is widely used for cooking, making it hard for security forces to stop production of the bombs.