Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
unateseka ukiwa huko Uyahudi ISRAEL ama ukiwa uyahudini BARIADI[emoji23][emoji23]Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.
unateseka ukiwa wapi nendeni mukantoe au waagizeni Wuu es ei wakamtoe [emoji23][emoji23]Huyo muuaji si kachaguliwa na Ayatollah hajachaguliwa na wananchi wa Iran. Sawa na Magufuli alivyotubambikia wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, madiwani, wabunge hadi yeye mwenyewe kuwa rais.
Iran ingekuwa nchi ya kidemokrasia huyo "Teheran Butcher" asingepata hiyo fursa. Huyo jamaa ndio wale wanaoifanya Iran kuwa miongoni mwa nchi tatu zinazoongoza kwa kunyonga watu duniani kando ya China na Saudi Arabia.
nenda kamtoe ukae ww [emoji23][emoji23][emoji857]Habari nilizopata punde huyu jamaa kaandaliwa na Ayatollah na wote waliokuwa na nguvu za kuchaguliwa kwa haki na raia walitishwa na kuambiwa wajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uraisi hadi mmoja alijitoa siku mbili kabla ya uchaguzi.. na siri kubwa uchaguzi kura zimechezeshwa kama Jiwe alivyokuwa anafanya.. Naona Ayatollah kamchagua Butcher of Teheran sababu anatekeleza kila kitu hadi kutoa roho
mkuu naona uko na uelewa mdogo sana tena sana, sijui tatizo ni ukosefu wa elimu au nini? kama unajua kile mleta mada ameadika hungeuliza maswali ya kijinga kaa hii umeulizaMtu mbaya anapimwa kwa kuwekewa vikwazo na marekani? Kama jina lake chafu ndani ya iran, waliomchagua ni kina nani... Naomba nieleweshwe hapo kitu gani kimetokea mkuu
Ndiyo aina ya viongozi tunaowahitaji katika nchi yetu ya Tanzania inayozidi kupukuchukuliwa na kukwanyuliwa na vipangakoki walafi na mafisadi.Nchi kama ile inahitaji roho ngumu sana kuiongoza...
Rais wa Irani wewe anakuhusu nini?Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.
Kwani nchi yenu inanunua wapi mafutaHavina maana angalia Venezuela, na Iran wana mafuta na Hawana pa kuuza
Huyo benet hizbollah tu ndio saiz yake, huyu Rais mpya wa Iran atadeal na Marekani na wwshitika wakeHuyo ndie anafaa ili ale sahani moja na Bennet.
Iran wanajitekenya kisha wanacheka wenyewe... Marekani wenyewe hawana hata habari kama kuna mtu kachaguliwa uraisi IranIran's hardline president-elect Ebrahim Raisi says he will not meet with Biden | CNN
Iranian President-elect Ebrahim Raisi on Monday ruled out a meeting with President Joe Biden and called on the US to return to the nuclear deal, in his first international news conference since he won Iran's election over the weekend.edition.cnn.com
Kama ^Marekani^ hapa unamaanisha Mlaleo , basi uko sahihi 100% na pia nakuunga mkono huu na huu huku.Iran wanajitekenya kisha wanacheka wenyewe... Marekani wenyewe hawana hata habari kama kuna mtu kachaguliwa uraisi Iran
wa kumtisha Israel hajazaliwa kakaHuyo ndie anafaa ili ale sahani moja na Bennet.