Iran wawaambia Urusi kuwa ni wanafiki - Wamewaacha peke yao kwenye shida

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa kuwazuia Israel.

Russia wakizidiwa na Ukraine wanakuja kwetu tunawasaidia Drone na maroketi, tumewaomba mfumo wa S-400 na Ndege zao za kisasa SU-35 wameahidi kuleta ila hadi leo hawajatupatia hata moja.

Wanashindwa kutusaidia haswa wakati huu wa vita ebo russia ni wanafiq alilamika muandishi, Usiku ule tumeshambuliwa zana zetu za ulinzi zimezuia pekee bila usaidizi kutoka russia

Hatua hiyo Msemaji wa wizara aliingilia kati na kusema mambo ya siasa iachiwe wizara ya mambo ya nje.

Kuna dalili kuwa kipigo cha Israel kilikuwa na madhara makubwa sana japo wameficha sana ila kidonda hakijifichi nzi watajaa tu
1730239580293.jpeg

RUSSIAN S-400 ANTI-AIRCRAFT missile systems drive by during a rehearsal for the Victory Day parade in Moscow. (photo credit: MAXIM SHEMETOV/REUTERS)
Iranian journalist criticizes Russia over lack of support against Israel

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with some regime insiders questioning the relationship.​

A local journalist in Iran publicly criticized Russia on Monday for failing to provide promised defense systems, leaving Iran vulnerable during recent Israeli attacks. According to Iran International, reporter Ali-Akbar Saadati from Kar va Kargar directly questioned the Iranian government on a daily basis on Russia’s unfulfilled commitments to supply S-400 anti-aircraft systems and Su-35 fighters.

“Whenever they faced difficulties in Ukraine, suffered misfortune, or got stuck in the quagmire of the Ukraine war, they came running to us, asking for drones, missiles, everything,” Saadati said, expressing frustration over Iran’s isolation during Israeli airstrikes. “On the night Israel attacked us, our military’s defense system stood alone, completely alone,” he said.

The line of questioning prompted Foreign Ministry spokesman Esmail Baghaei to call for decorum, urging reporters to refrain from making political statements. “I ask friends to raise questions here and leave the task of issuing political statements to the foreign ministry,” Baghaei responded, adding, “One of the proud achievements of the Islamic Republic of Iran is its reliance on its strength, a result of the sacrifices of thousands.”

Russo-Iranian axis​

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with former National Security Committee head Heshmatollah Falahatpisheh previously questioning Moscow’s lack of support. After an Iranian attack on Israel, Falahatpisheh noted, “other powers did not come to Iran’s aid even in wartime conditions,” despite Tehran’s provision of drones to Russia for the Ukraine war, reported Iran International.

Since October 2022, Iran has supplied Russia with drones for its invasion of Ukraine, a move initially denied by Tehran but later acknowledged. However, promised support from Moscow, particularly advanced defense systems, has not materialized, leading to growing frustration within Iran as regional tensions with Israel continue.

Alex Selsky, adviser to the Middle East Forum and former adviser to Prime Minister Netanyahu, told The Jerusalem Post: “This incident is further evidence of another significant achievement of last Saturday’s Israeli strike. The strike demonstrated to the Iranians that Russia will not stand by them or defend them – not only because it doesn’t want to, but also because it cannot.”
 
Iran kama anga lake liko wazi hivyo angeachana tu na majigambo na kuwa mpole. Akianzisha vita atachakazwa vibaya sana. Hizo cruise na ballistic missiles anazozitegemea zitaishia kuzuwiwa na Israeli na washirika wake. Hata proxies zake alizotegemea kushambulia Israeli, Hamas na Hezbollah, zipo Hoi kama Sio kumalizwa uwezo kabisa. Rejea kelele za aljazeera 🤔
 
Kuna mkataba wa kiulinzi kati ya Russia na Israel ambao si Russia wala Israel, ambaye yupo tayari kuuvunja. Ni sababu hiyo hiyo Israel ameshindwa kuipa Ukraine Iron Dome systems ili kulinda mkataba wao. Hivyo Wairan wasitegemee kabisa kupewa msaada wa kijeshi na Russia kwaajili ya kupambana na Israel. Wakipewa, bila shaka Russia, kabla ya kuwapatia itakuwa imejadiliana na imekubaliana na Israel, na Israel itakuwa imejua namna ya kuteketeza hiyo zana.

Kwenye vita yoyote kati ya Israel na Iran, nchi ya Iran itakuwa loser. Iran hana mahusiano mazuri na majirani zake, nchi za kiarabu, kutokana na ufadhili wa makundi ya kigaidi yanayosumbua serikali za nchi majirani. Nchi za kiarabu zina uhusiano wa afadhali na Israel kuliko Iran. Ni ngumu sana kupigana na adui aliyepo mbali halafu huna mahusiano mazuri na majirani zako wa karibu.
 
Ushachambua tayari leteni picha acheni blaah blaah
 
Kasheshe limeanza kueneza karibu nchi nzima kutowaamini Russia haswa wakati kama huu kuwa Russia sio kwamba anaweza kuwa bega kwa bega na Iran wakati wa Shida tu ila Russia hana uwezo pia wa kuwazuia Israel.

Russia wakizidiwa na Ukraine wanakuja kwetu tunawasaidia Drone na maroketi, tumewaomba mfumo wa S-400 na Ndege zao za kisasa SU-35 wameahidi kuleta ila hadi leo hawajatupatia hata moja.

Wanashindwa kutusaidia haswa wakati huu wa vita ebo russia ni wanafiq alilamika muandishi, Usiku ule tumeshambuliwa zana zetu za ulinzi zimezuia pekee bila usaidizi kutoka russia

Hatua hiyo Msemaji wa wizara aliingilia kati na kusema mambo ya siasa iachiwe wizara ya mambo ya nje.

Kuna dalili kuwa kipigo cha Israel kilikuwa na madhara makubwa sana japo wameficha sana ila kidonda hakijifichi nzi watajaa tu
View attachment 3138706
RUSSIAN S-400 ANTI-AIRCRAFT missile systems drive by during a rehearsal for the Victory Day parade in Moscow. (photo credit: MAXIM SHEMETOV/REUTERS)
Iranian journalist criticizes Russia over lack of support against Israel

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with some regime insiders questioning the relationship.​

A local journalist in Iran publicly criticized Russia on Monday for failing to provide promised defense systems, leaving Iran vulnerable during recent Israeli attacks. According to Iran International, reporter Ali-Akbar Saadati from Kar va Kargar directly questioned the Iranian government on a daily basis on Russia’s unfulfilled commitments to supply S-400 anti-aircraft systems and Su-35 fighters.

“Whenever they faced difficulties in Ukraine, suffered misfortune, or got stuck in the quagmire of the Ukraine war, they came running to us, asking for drones, missiles, everything,” Saadati said, expressing frustration over Iran’s isolation during Israeli airstrikes. “On the night Israel attacked us, our military’s defense system stood alone, completely alone,” he said.

The line of questioning prompted Foreign Ministry spokesman Esmail Baghaei to call for decorum, urging reporters to refrain from making political statements. “I ask friends to raise questions here and leave the task of issuing political statements to the foreign ministry,” Baghaei responded, adding, “One of the proud achievements of the Islamic Republic of Iran is its reliance on its strength, a result of the sacrifices of thousands.”

Russo-Iranian axis​

Iran has faced ongoing criticism for its strategic reliance on Russia, with former National Security Committee head Heshmatollah Falahatpisheh previously questioning Moscow’s lack of support. After an Iranian attack on Israel, Falahatpisheh noted, “other powers did not come to Iran’s aid even in wartime conditions,” despite Tehran’s provision of drones to Russia for the Ukraine war, reported Iran International.

Since October 2022, Iran has supplied Russia with drones for its invasion of Ukraine, a move initially denied by Tehran but later acknowledged. However, promised support from Moscow, particularly advanced defense systems, has not materialized, leading to growing frustration within Iran as regional tensions with Israel continue.

Alex Selsky, adviser to the Middle East Forum and former adviser to Prime Minister Netanyahu, told The Jerusalem Post: “This incident is further evidence of another significant achievement of last Saturday’s Israeli strike. The strike demonstrated to the Iranians that Russia will not stand by them or defend them – not only because it doesn’t want to, but also because it cannot.”
Mwandishi wa iran toka buza alisikika hivyo!
 
Sawa msemaji wa Iran
 
Mjomba Ritz adhuhuri umeswali nakusubiri kule X kwenye page ya Palestinian..

Waziri wa fedha wa israel akihutubia na huku analia nakusema raia wetu na jeshi letu linakufa bila matarajio jeneza baada ya jingine tumepiga kwa ndege, kufa kwa waarabu na kubomolewa majumba hayo yote hayajasaidia, tumevamia kwa chini twaua sana na wengine wanajeshi wetu wanajiua kwa kujipiga risasi au kujinyonga ,hapa vita imetushinda sisi wazayuni tukubali
 
View attachment 3138782

Atakuwa shoga
 
Ingia king🥲
 
Back
Top Bottom