Iran wawaambia Urusi kuwa ni wanafiki - Wamewaacha peke yao kwenye shida

una umri gani kwani? Kwa zama hizi unatakiwa uwe unajua how governments operates ,unatakiwa ujue credibllity ya habari unayoipost na kuisambaza
Haya tuambie huyo muandishi ana status gani kwa wa iran na yupo chombo gani cha habari hapo iran?
Kila unachokiona kwenye social media usikibebe kama kikivyo kisa tu kinakufurahisha, unaaibisha elimu na uelewa wako
 
Propaganda za kijinga
 
Mleta habar hujitambui waambie wajixhanganye waache kujificha Kwenye anga LA nchi Jirani so wanaweza wawakusanye na NATO waseme sasa tunaingia Iran kama Libya na Iraq
 
Pride

Israel anashambuliwa na Iran, Yemen ila hupuuza
 
Endeleeni kujipa moyo, Israel hawezi kumpiga Iran labda kwa msaada wa Marekani na mashoga zake ndio ampige Iran.
 
Unaweza ukawa na elimu ila ukawa huna uelewa na hujaelimika ndio huyo jamaa na sijui kama hata elimu kama ipo hata kama hii yangu ya lapili f
 
Uandishi wq habari
Uandishi wa habari mbovu kabisa kuwahi kutokea.Yaani maoni ya mtu mmoja ndo imekuwa Iran.
Shame on you
 
Endeleeni kujipa moyo, Israel hawezi kumpiga Iran labda kwa msaada wa Marekani na mashoga zake ndio ampige Iran.
Si Iran keshapigwa tayari au ulikuwa umelala siku kadhaa? Kuna lugha unaweza tumia watu wakakuina as if umerukwa au mwezi mchanga...

Sema labda Israel kuendelea na ugomvi dhidi ya Iran atachmsha hapo unaweza eleweka.. ila tambua kitu kinachoitwa Islam au Allah havina uwezo wa kuwashinda Waisrael..

Sababu Mungu wa Israel ni Bwana wa Majeshi according to Isayah.

And according to Quran Ardhi ya Caanan Allah alimuambia Musa na wana wa Israel kuwa wasitoke humo na waipiganie hadi kiama so wewe tambua ukiona Israel ameshindwa ujue kiama tayari kishafika sio ule uwongo wa Mudy eti Mwezi ulipasuka vipande viwili
 
Hata picha wewe na mchafuzi wenzako T14 Armata mmeshindwa kuleta
 
Propaganda ilitumika vzr😂😂😂
 
I think iran waombe sana trump asirudi white house , hyo attack ilikuwa very calculated kuondoa air defenses in aniticipation for a future attack . Akirudi na wayahudi wapewe green light , iran ndio mwisho wao
 
Umeandika ugoro mtupu kutafuta likes na bahati nzuri wajinga wenzako wamekupa
 
russia ni NATO kamili iliyojivalia vazi la uadui na NATO ili kuwahadaa waarabu,china na kiduku
 
“On the night Israel attacked us, our military’s defense system stood alone, completely alone" There were only 90 million of us to the 'overwelming' 7 million of them. We didn't stand a chance. 🤔
Bado mnatafuta vya kujifariji!!..
 

Isaya ni Nani na alisema wapi maneno hayo?
 

Ndiyo misa ya Nabii wako Tito juzi Jumapili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…