Mimi ni myahudi mwesi naripoti kutoka Makete.Ukimaliza kuandika Kama hivi utoe na chombo Cha habari unachofanyia kazi kaka ili tujue wewe Ni reporter kutoka wapi
Umekunywa chai lakiniMimi ni myahudi mwesi naripoti kutoka Makete.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1933393215299699132?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Umekunywa chai lakinMimi ni myahudi mwesi naripoti kutoka Makete.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1933393215299699132?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Pole sana mkuu, Israel kuamua kumuuwa nyoka kwa kumpoga kichwaniWanaukumbi
JUST IN:
Iranian suicide drones have entered Jordanian airspace and are heading toward Israel.
UK, US and Israel, with support from Arab nations are working to intercept them.
================
Ndege zisizo na rubani za Iran za kujitoa mhanga zimeingia kwenye anga ya Jordan na kuelekea Israel.
Uingereza, Marekani na Israel, kwa kuungwa mkono na mataifa ya Kiarabu wanafanya kazi ya kuwazuia.
View: https://x.com/currentreport1/status/1933415085872906278?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yahudi mweusi anaripoti kutoka Mafinga😂Israel akituma mengine mabomu kama 400 mje mtujulishe kama Ayatollah atakuwa hai.
Hizo drone hazina tofauti na manati, hivyo zote zitatunguliwa muda si mrefu
Hizo drones itakuwa zinakwenda kufanya reconnaissance, ila vyuma vipo vinaandaliwa..